Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza tarehe ambayo watapanga ili ichezwe, najitolea kuandamana hakuna kupeleka timu. Hatuwezi kuwa na ligi ya kipumbavu hivi. Kilichofanyika leo ni ujinga uliotukuka.
🤣🤣🤣Kwanza tarehe ambayo watapanga ili ichezwe, najitolea kuandamana hakuna kupeleka timu. Hatuwezi kuwa na ligi ya kipumbavu hivi. Kilichofanyika leo ni ujinga uliotukuka.
Ni bora kuwa mkimbizi kuliko kufungwa goli zaidi ya mbili za majini🤣😂😁nawapa jina jipya wakimbizi...
Mechi itapangwa na msipokuja uwanjani tunabeba point tatu za bureIla hapa naona kama hiyo bodi ya ligi ndio imejaa wapumbavu.
Huwezi ghairi mechi kipumbavu namna hiyo tena masaa machache kabla ya mechi.
Ushauri wangu kwa Yanga ni kwamba kama wasipocheza mechi leo, wagome wasicheze tena. Sijaona sababu zenye mashiko zimetolewa
Kwa maelezo haya wewe, makomando na viongozi wa Yanga ndiyo washirikina.Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea lile Bus wakaanza kusikia sauti za Mbuzi na Kondoo ndani ya Bus.... Mgogoro ukaanzia hapo.
Simba Ina Majeruhi 2 wa Wachezaji wa Kikosi Cha kwanza, Camara na Arteba, Wazee wakawaambia Mechi ya Leo tutafungwa lah twende tukaicheze Ile Mechi uwanjani, ikaonekana ni jambo gumu coz Watu wangeona kama wangeenda kufanya Mazoezi mida ya saa 10 jioni.
Wakapata wazo kwamba wataenda kufanya Mazoezi usiku, ili wakati wao wanazuga na Mazoezi, Wazee waendee kuicheza Mechi ya Leo wakiwa pale pale uwanjani.
Kwa vile Simba ni watu sana wanaamini Ushirikina (Rejea tu tukio la Simba kuwasha moto Mechi na Kaizer chief) na Huwa hawana aibu kufanya mambo ya Kishirikina.
Makomando wa Yanga wakakataa kuwaruhusu Simba kuingia Taifa, wakawaambia kama mnataka ingizeni Bus Moja tu lenye Wachezaji, Simba wakakataa wakisema lazima waingize na Bus la Wazee wao wakiwataja kama Mashabiki wao, Makomando wa Yanga wakasema basi Leo hamuingii humu ndani, Simba wakaamua kuondoka.
Wakaenda kufanya Kikao na Wazee wao, Wazee wakawaambia kama kesho mkipeleka Team Kwa maana ya Leo, mnaenda kufa Goli 7, na Kwa vile imeshindikana kwenda kuicheza Mechi sisi wenyewe Taifa, kesho Msipeleke Team uwanjani.
Andikeni malalamiko ili Mechi isogezwe mbele, Majeruhi wetu watakua wamepona, pia matokeo yatabadirika kutegemea na tarehe husika na siku husika...!
Wameandika Barua Bodi ya ligi, mwanzo Bodi ya ligi ilitoa msimamo kwamba Mechi lazima ichezwe, kama Kuna uvunjifu wa kanuni, Team itaadhibiwa Kwa mujibu wa kanuni, lakini Kwa vile Bodi ya ligi inaendeshwa na viongozi wengi wa Simba, wakaamua kukwepesha Kanuni.
Sasa hivi Yanga ipo Taifa inamsubiri Simba, Simba wasipokuja Yanga wanataka point zao 3 na magoli 3.... Wameshasema kama SI Leo hawatacheza Mechi na Simba kwenye Mechi zilizobaki.
Ugomvi ambao Bodi ya ligi wameuanzisha Kwa kukwepesha Kanuni na kusogeza Mechi mbele, hawana uwezo wa kuumaliza Wala TFF haiwezi zaidi ya kupiga Yanga point 3, lah..... Ugomvi utaenda kumalizwa CAF ama FIFA.
Azam inabidi watueleze na kibwagizo Chao Cha matangazo ya Derby....kwamba...
"Hii Derby Haina Kipengele Mtani, Kipengele labda ukilete wewe.....!
Kususia Mechi ya hii kulipagwa zamani.
Ustaadhat hata wewe unaingia kwenye mkenge wa shirki!?😳Kunywa kinywaji chochote Fanton Mahal msimamo ndiyo huo, wanaahirishaje mechi masaa machache hivi, kabla ya muda wa mechi? Tena hakuna tukio kubwa la kitaifa kusema lipishe. Tutawatagisha hawa, hiyo tarehe wanayopanga wao hatutacheza. walipolalia ndipo tulipoamkia.
Kabisa maana hiki kitu watu wanakichukulia poa lakini hii tabia itaendelea siku zote hadi siku mashabiki waoneshe umoja na kuziwajibisha hizi timu na hiyo bodi yao. Maana hasara kubwa wanakula mashabiki kuliko hata hizo team. Watu wamelipa nauli/mafuta kwenye magari, wamelipa hotel/lodge, wamelipa kiingilio, wengine wamelipia king’amuzi, wafanyabiashara wameongeza idadi ya vyakula na vinywaji wakitegemea wateja wa mpira kwenye mabaa halafu wajinga flani wanakuja kuahirisha mechi kirahisi tu. Mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao na sio kusubiri hizi team ambazo zenyewe zipo kisiasa tu na haziwafikirii mashabiki hata siku moja. Nitaona mashabiki wajinga siku wakiingia uwanjani kwenye mechi mpya!Mimi napendekeza Yanga wapigane proxy war.
Wakubali kuingia hasara wawafadhili wafanyabiashara na washabiki waliosafiri kutoka mikoani wafungue kesi ya madai dhidi ya bodi ya ligi walipwe hasara walizopata.
Hii itakua funzo kwao na watakao kuja kughairisha mechi kingesengese kwa kumlinda mtoto mdekaji Dunduka.
Hapana, mimi sija comment toka pande yoyote kishabiki. Ndio maana sijawalalamikia simba, nime point udhaibu straight kwa bodi ya ligi ambapo kimsingi Ni kama wamewaonea Yanga.Mechi itapangwa na msipokuja uwanjani tunabeba point tatu za bure
Ninyi mmeenda uwanjani refa mmemwona?Kama hapakuwa na refa nani kawapa point? 🤣🤣🤣
Utoto tu umeandikaJana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea lile Bus wakaanza kusikia sauti za Mbuzi na Kondoo ndani ya Bus.... Mgogoro ukaanzia hapo.
Simba Ina Majeruhi 2 wa Wachezaji wa Kikosi Cha kwanza, Camara na Arteba, Wazee wakawaambia Mechi ya Leo tutafungwa lah twende tukaicheze Ile Mechi uwanjani, ikaonekana ni jambo gumu coz Watu wangeona kama wangeenda kufanya Mazoezi mida ya saa 10 jioni.
Wakapata wazo kwamba wataenda kufanya Mazoezi usiku, ili wakati wao wanazuga na Mazoezi, Wazee waendee kuicheza Mechi ya Leo wakiwa pale pale uwanjani.
Kwa vile Simba ni watu sana wanaamini Ushirikina (Rejea tu tukio la Simba kuwasha moto Mechi na Kaizer chief) na Huwa hawana aibu kufanya mambo ya Kishirikina.
Makomando wa Yanga wakakataa kuwaruhusu Simba kuingia Taifa, wakawaambia kama mnataka ingizeni Bus Moja tu lenye Wachezaji, Simba wakakataa wakisema lazima waingize na Bus la Wazee wao wakiwataja kama Mashabiki wao, Makomando wa Yanga wakasema basi Leo hamuingii humu ndani, Simba wakaamua kuondoka.
Wakaenda kufanya Kikao na Wazee wao, Wazee wakawaambia kama kesho mkipeleka Team Kwa maana ya Leo, mnaenda kufa Goli 7, na Kwa vile imeshindikana kwenda kuicheza Mechi sisi wenyewe Taifa, kesho Msipeleke Team uwanjani.
Andikeni malalamiko ili Mechi isogezwe mbele, Majeruhi wetu watakua wamepona, pia matokeo yatabadirika kutegemea na tarehe husika na siku husika...!
Wameandika Barua Bodi ya ligi, mwanzo Bodi ya ligi ilitoa msimamo kwamba Mechi lazima ichezwe, kama Kuna uvunjifu wa kanuni, Team itaadhibiwa Kwa mujibu wa kanuni, lakini Kwa vile Bodi ya ligi inaendeshwa na viongozi wengi wa Simba, wakaamua kukwepesha Kanuni.
Sasa hivi Yanga ipo Taifa inamsubiri Simba, Simba wasipokuja Yanga wanataka point zao 3 na magoli 3.... Wameshasema kama SI Leo hawatacheza Mechi na Simba kwenye Mechi zilizobaki.
Ugomvi ambao Bodi ya ligi wameuanzisha Kwa kukwepesha Kanuni na kusogeza Mechi mbele, hawana uwezo wa kuumaliza Wala TFF haiwezi zaidi ya kupiga Yanga point 3, lah..... Ugomvi utaenda kumalizwa CAF ama FIFA.
Azam inabidi watueleze na kibwagizo Chao Cha matangazo ya Derby....kwamba...
"Hii Derby Haina Kipengele Mtani, Kipengele labda ukilete wewe.....!
Kususia Mechi ya hii kulipagwa zamani.
🤣Ni bora kuwa mkimbizi kuliko kufungwa goli zaidi ya mbili za majini🤣😂😁