Mtani wetu Simba, hii Derby haina kipengele labda ukilete wewe. Kuna Azam walikijua mapema

Sababu ya kuahirishwa kwa hii mechi ni ya kipumbavu na inakera mpaka imepitiliza.
 
Sawa Mkuu tumekusoma naona umekuwa mkali sana
 
Hao makomando mbona mi sielewi ni watu gani? Kuna vitu hadi nashangaa maana nimeona wengi wakisema makomando wa yanga.
Hapo kwenye goli 7 hizo ni assumption zako hamna lolote wabongo ndivyo mlivyo.

Nimetoka kuangalia mechi ya Nottingham forest na Manchester city kaka mpira ni uwezo tu habari zenu hizi mnajirudisha nyuma tu.
 
Haya chezeni leo Yanga tumewafungulia na mageti mcheze mnavyoweza matokeo mtatupatia bodi ya ligi tu-update msimamo wa ligi
 
Bantu Lady yanga ndiyo walioleta kipengele cha kuvunja kanuni kwa kuwahujumu Simba sc wasifanye mazoezi.
Yanga ataletaje kipengelee wakati mwenye funguo Meneja hana taarifa.

Halafu hizo kanuni mmezijua jana,mbona round ya kwanza kipindi mkiwa wenyeji mliwazuia Yanga au round ya kwanza kulikuwa hamna kanuni.
 
Jamii Check haipo siku hizi Maxence Melo !!?
Mtu anaanzisha uzi kuwa Simba S. C ameenda Benjamin Mkapa Stadium na mabus mawili, lakini haweki huo ushahidi wa hayo mabus mawili.

Kwa nini mnaruhusu upotoshaji na uongo!!??
Au kama Taifa na kama nchi, mmekubali kuwa uongo na upotoshaji ni ruksa na kuwa ni sehemu ya maisha yetu!!??
Hao mbuzi kwenye bus ushahidi wake uko wapi!!?
 
Yanga hatuna kipengele mtani, kipengele mlikuja nacho nyie jana watani.
Nilikuwa nimeshaiona hii dabi kwenye ulimwengu wa roho,kama ingechezwa leo,kwenye macho ya nyama ubao ungesoma yanga 3 na Simba sc 7.
 
Mpaka Muda huu...hakuna aliyethibitisha hii habari ya makomandoo..
TFF hakika inapaswa buruzwa kimataifa ikashtakiwe kwa kuahirisha mechi kwa kukubaliana na uoga wa Simba...
 
Nilikuwa nimeshaiona hii dabi kwenye ulimwengu wa roho,kama ingechezwa leo,kwenye macho ya nyama ubao ungesoma yanga 3 na Simba sc 7.
Ulimwengu wako wa kiroho haukutendei haki. Mechi ilichezwa juzi tulishinda magoli zaidi ya 2. Ndiyo maana madunduka ilibidi waicheze usiku wa jana, kuzirudisha kabla ya leo. Huu mchezo hautaki hasira... nawapa jina jipya wakimbizi...
 
Ulimwengu wako wa kiroho haukutendei haki. Mechi ilichezwa juzi tulishinda magoli zaidi ya 2. Ndiyo maana madunduka ilibidi waicheze usiku wa jana, kuzirudisha kabla ya leo. Huu mchezo hautaki hasira... nawapa jina jipya wakimbizi...
Dabi ijayo mtaleta timu uwanjani?
 
Dabi ijayo mtaleta timu uwanjani?
Kwanza tarehe ambayo watapanga ili ichezwe, najitolea kuandamana hakuna kupeleka timu. Hatuwezi kuwa na ligi ya kipumbavu hivi. Kilichofanyika leo ni ujinga uliotukuka.
 
Mimi napendekeza Yanga wapigane proxy war.
Wakubali kuingia hasara wawafadhili wafanyabiashara na washabiki waliosafiri kutoka mikoani wafungue kesi ya madai dhidi ya bodi ya ligi walipwe hasara walizopata.
Hii itakua funzo kwao na watakao kuja kughairisha mechi kingesengese kwa kumlinda mtoto mdekaji Dunduka.
 
Ngapi ngapi huko?πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ€£

Yanga Uto SC vs Yanga Mabaunsa
 
Hakuna sauti mtaacha kutoa vyura nyieπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜…

Mechi hakuna leo Utopolo nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…