Mtani wetu Simba, hii Derby haina kipengele labda ukilete wewe. Kuna Azam walikijua mapema

Walitafuta tu sababu ya kuhairisha mechi waoga sana
 
Utasombwa na maji wewe chura wa kike, tulia na ishia kupiga kelele kama hizi mtani.

Mligomea mechi imesogezwa kwa masaa mawili tu. Leo mnaona Nongwa Mnyama kutimka🤣😂
Kwanza tarehe ambayo watapanga ili ichezwe, najitolea kuandamana hakuna kupeleka timu. Hatuwezi kuwa na ligi ya kipumbavu hivi. Kilichofanyika leo ni ujinga uliotukuka.
 
Kwanza tarehe ambayo watapanga ili ichezwe, najitolea kuandamana hakuna kupeleka timu. Hatuwezi kuwa na ligi ya kipumbavu hivi. Kilichofanyika leo ni ujinga uliotukuka.
🤣🤣🤣

Sawa.
 
Mechi itapangwa na msipokuja uwanjani tunabeba point tatu za bure
Ninyi mmeenda uwanjani refa mmemwona?Kama hapakuwa na refa nani kawapa point? 🤣🤣🤣
 
Kwa maelezo haya wewe, makomando na viongozi wa Yanga ndiyo washirikina.
Wazee tunaishi nao kila mahali, wazee ndiyo wenye timu za Yanga na Simba iweje leo uwepo wa wazee uhusishe na uchawi?
Ndugu mtoa mada bila shaka unatokea mikoa ile yenye tabia ya kuua wazee.
Muwe na heshima na wazee wetu.
 
Ustaadhat hata wewe unaingia kwenye mkenge wa shirki!?😳
 
Dada simba kawaingiza msomali na gengelake mtegoni kama alivyo taka kumuingiza Rc mwanza ...timu lia lia hii mdebwedo
 
Kabisa maana hiki kitu watu wanakichukulia poa lakini hii tabia itaendelea siku zote hadi siku mashabiki waoneshe umoja na kuziwajibisha hizi timu na hiyo bodi yao. Maana hasara kubwa wanakula mashabiki kuliko hata hizo team. Watu wamelipa nauli/mafuta kwenye magari, wamelipa hotel/lodge, wamelipa kiingilio, wengine wamelipia king’amuzi, wafanyabiashara wameongeza idadi ya vyakula na vinywaji wakitegemea wateja wa mpira kwenye mabaa halafu wajinga flani wanakuja kuahirisha mechi kirahisi tu. Mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao na sio kusubiri hizi team ambazo zenyewe zipo kisiasa tu na haziwafikirii mashabiki hata siku moja. Nitaona mashabiki wajinga siku wakiingia uwanjani kwenye mechi mpya!
 
Mechi itapangwa na msipokuja uwanjani tunabeba point tatu za bure
Ninyi mmeenda uwanjani refa mmemwona?Kama hapakuwa na refa nani kawapa point? 🤣🤣🤣
Hapana, mimi sija comment toka pande yoyote kishabiki. Ndio maana sijawalalamikia simba, nime point udhaibu straight kwa bodi ya ligi ambapo kimsingi Ni kama wamewaonea Yanga.
Mfano, hiyo siku ya mechi nyingine na Yanga wakatengeneza zengwe kuwa wamhujumiwa hivyo hawatacheza mechi, je bodi ya ligi watachukua uamuzi gani kuthibitisha hayo madai kama ambavyo hawajachukua hatua yotote ya maana kuthibitisha claims za Simba whether are valid or not???

Vipi na azam nao wakaja na ujinga kama huu na timu zingine pia, huoni kama bodi itakua ime play part pakubwa sana kuharibu ligi??

Simba hawakuandika barua yoyote kutoa taarifa kiofisi kuwa wamehujumiwa.
Bodi haijachukua hatua zozote za kiuchunguz kuthibitisha madai ya simba ili kuchukua hatua.
Yanga hawajapewa taarifa yoyote kiofisi kuhusu kughairishwa kwa mchezo,
Huoni this whole ambiguity circumstance ilivyo juu chini ,chini juu??

Hapa Yanga wameonewa, black n white bila kujali ushabiki.
Bodi ya ligi wameboronga
Na simba ndio chanzo cha tatizo
Period
 
NAJIULIZA TU HIVI MAKOMQNDOO WA YANGA WANGEACHA SHOBO NA KIHEREHELE CHA KUFANYA VURUGU KWA MSAFARA WA SIMBA LEO TUNGEFIKA HUKU??

KWA WANAODAI SIMBA ALITAFUTA SABABU BASI NA YANGA WAMEINGIA KWENYE MTEGO KWA HILI YANGA WAMEPUYANGA
 
Utoto tu umeandika
 
KATIKA MAISHA YAKO OGOPA SANA KUWA JINGA NA LI PUMBAVU.

Kanuni inaitaka timu ngeni Iende ikafanye mazoezi uwanjani siku moja kabla ya mchezo .

Haijalishi waende na.
Mabasi hamsini.
Kuku.
Ngombe.
Kufuturu.
Kusali.
Chochote wana uhuru wa Kukifanya.

Nakushauri ukimbie Ujinga Uogope Upumbavu.
Inasikitisha Mno kulilia Upumbavu.

Fikicha akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…