Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chupi nyingine ni amaizing mkubwa yani unatamani atembee inaonekana na watu woteUnasura kama chupi ya mchepuko wako
kalimwingotiiiiiiiiiiiiiii......Mcheki pua yake kama kona ya sambusa
kalimwingotiiiiiiiiiiiiiii......
Duh balaaaaaa Mdomo mkubwa kiasi kwamba unakula chapati bila kukunja.kwenu una Dada wabaya Mpk mmeandika oa mmoja upate wawili bure.
Miguu mirefu kama mpima viwanjaDuh balaaaaaa Mdomo mkubwa kiasi kwamba unakula chapati bila kukunja.
Mnene kama paja la ndege mwarabuatakaenitania namloga
Mdomo kama pindo la blangeti[emoji23] [emoji6]
Nimecheka mpaka mbavu zinaumaukicheka mashavu yanatetemeka kama mawimbi ya uji.
Miaka mitatu uliyokaa mjini bado hujajua kiswahili... blanketi unaita blangetiMdomo kama pindo la blangeti
Mnyonge wangu huyu hapa eti yello Masai...Miaka mitatu uliyokaa mjini bado hujajua kiswahili... blanketi unaita blangeti
Mrefu kama kimba la kuharishaMfupi kama kimba la mwisho
Ndio maana ulitafuna thermometer ukameza pale hospitali! Ulitushangaza sana pale doctor alipokuuliza "Masai thermometer niliyokuwekea chini ya ulimi iko wapi? Ukajibu eti imetafuna akamesa amesania ni niu modeli ya dawa"Miaka mitatu uliyokaa mjini bado hujajua kiswahili... blanketi unaita blangeti