Mtanie wa juu yako

kwa kujisifia imepitiliza,leo nimeskia hii Matangazo ya vifo.Ndugu Datius Rweyemamu wa Masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Sophia Rweyemamu wa Oysterbay kilichotokea jana America Baada ya kupaliwa BURGER akiwa anaendesha BUGATTI yake mpya la Billion 04 likiwa Full Tank.Msiba utafanyika kwa aunt yake Australia,Taarifa ziwafikie ndugu zake wote wa Singapore,Dubai,India,Ugiriki pamoja na house Girl Clara aliyekua China kwa shopping ya vyakula vya Mbwa*[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…