Naskia we mweusi sana mpaka mbu akitaka kukuuma anatafuta kwanza tochiShetani mbaya sana,. Anawatesa watu wa Ulimwengu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia we mweusi sana mpaka mbu akitaka kukuuma anatafuta kwanza tochiShetani mbaya sana,. Anawatesa watu wa Ulimwengu huu.
Nackia ww ni mweuc mpaka ukibeba mtoto mchana anacnzia anajua Giza limeingia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Naskia we mweusi sana mpaka mbu akitaka kukuuma anatafuta kwanza tochi
[emoji1] [emoji1] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590]Babaako ni mnene hadi akivaa ile shati yake ya njano watoto wanamkimbilia,wanafikiri ni school bus!
Mkuu mbona una haraka kama bao la kwaanza[emoji1] [emoji1] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590]
[emoji1] [emoji1] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590]
[emoji1] [emoji1] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590] [emoji590]
[emoji23] [emoji23]Mkuu mbona una haraka kama bao la kwaanza
Demu wako mnene mpaka akivaa nguo nyekundu unadhani kibanda cha M-pesaTwende twende twende miguu kama chelewa. ... Twende twende macho kama panzi.....
Twende twende nywele kama mkutano wa inzi...
Twende twende tumbo kubwa kama pakacha la embe.....
Twende twende masikio kama popo......
Twende twende mdomo kama kawa..... huyooo mdomo kama bakuli. ...
Twende twende mwembamba kama chelewa.....
Twende twende muone kwanza sauti mbayaa ukiimba watu wote wanakusanyika kwa mjumbe wanajua mbiu imepigwa...... muone kwanza....
Humtishi hunibabaishi na wala sikuogopi. ... ukinipiga unanionea... ukiniacha unaniogopa...... lione kwanza..... Bichwa kubwaa kusikitika huwezi ukipata taarifa ya msiba unasikitika kwa kutingisha mwili mzima badala ya kichwa...... naenda hukooo kalaleee achana na mimi weweee
Huyooo mtoto mayai huyooo .....huyooo mtoto wa get kali huyoooooo. ........
Yangu ndo hayo.
Kasie .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demu wako mnene mpaka akivaa nguo nyekundu unadhani kibanda cha M-pesa
Kwenu mnajifnya walokole sana hadi ugali mnasongea msalabaWote mana sura nzito kama cabin ya FIAT
Macho kama umebanw na mlangoMwembamba mpaka ukisikia upepo unajaza mawe mfukoni ili usipeperushwe na upepo
cheki kwanza sura kama naniliyu...Unamtania manyani nyani kaacha nguo kavaa majani kichwa kidogo kama tumbili
lione ndo maana ukijiangalia kwenye kioo,kioo kinaandika failure..!!Bichwa kubwa kama boga la ukerewe
kiuno kama nyigulione ndo maana ukijiangalia kwenye kioo,kioo kinaandika failure..!!
kiuno kama nyigulione ndo maana ukijiangalia kwenye kioo,kioo kinaandika failure..!!