Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli hapa ukinuna utakuwa na shida!Demu wako mnene mpaka akivaa nguo nyekundu unadhani kibanda cha M-pesa
Twende twende twende miguu kama chelewa. ... Twende twende macho kama panzi.....
Twende twende nywele kama mkutano wa inzi...
Twende twende tumbo kubwa kama pakacha la embe.....
Twende twende masikio kama popo......
Twende twende mdomo kama kawa..... huyooo mdomo kama bakuli. ...
Twende twende mwembamba kama chelewa.....
Twende twende muone kwanza sauti mbayaa ukiimba watu wote wanakusanyika kwa mjumbe wanajua mbiu imepigwa...... muone kwanza....
Humtishi hunibabaishi na wala sikuogopi. ... ukinipiga unanionea... ukiniacha unaniogopa...... lione kwanza..... Bichwa kubwaa kusikitika huwezi ukipata taarifa ya msiba unasikitika kwa kutingisha mwili mzima badala ya kichwa...... naenda hukooo kalaleee achana na mimi weweee
Huyooo mtoto mayai huyooo .....huyooo mtoto wa get kali huyoooooo. ........
Yangu ndo hayo.
Kasie .
Wwe ni mjinga hadi driving school ilibidi wakupeleke boardnkwenu una Dada wabaya Mpk mmeandika oa mmoja upate wawili bure.
Hahahaaaa hv hzo n sura zenu au mnapulza moto!!!
meno kama zipu ya jeansTulia wewe macho kama vidonda
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....this one made my day [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu wako mnene mpaka akivaa nguo nyekundu unadhani kibanda cha M-pesa
Du!!!Unasura kama chupi ya mchepuko wako
Du!!!
raxx ni wewe una uso mpana kama chupi ya defaoDu!!! Nini wewe? Kanye ukalale! Lol
utani mwingine mbayaWengine wanakasirika jamani
ndo maana ukipiga miayo mpk kdaka tonge kinaonekanakiuno kama nyigu
ahahahah liangalie Mguu kama mwiba,,,, kichwa kama treni inakata kona.ndo maana ukipiga miayo mpk kdaka tonge kinaonekana
ndo maana mweusi mpk umeme ukikatika mtu anauliza huu mkaa nani kaweka hapaahahahah liangalie Mguu kama mwiba,,,, kichwa kama treni inakata kona.
Nalia mimindo maana mweusi mpk umeme ukikatika mtu anauliza huu mkaa nani kaweka hapa