Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
Ukitukanwa utafurahi? Matusi yakizidi ugomvi ufuata.Utani ukizidi matusi hufuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitukanwa utafurahi? Matusi yakizidi ugomvi ufuata.Utani ukizidi matusi hufuata
Hiyo avatar yako... domo ka la dangote kakosa tuzoUkitukanwa utafurahi? Matusi yakizidi ugomvi ufuata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28]Sura kama Ngamia anamung'unya pipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya na domo lako ft 2bichwa hilo mpaka wanaangalia uwezekano wa kukutumia ukazibe jua somalia
Na ww umekonda hadi unachomekea ngoziBabaako ni mnene hadi akivaa ile shati yake ya njano watoto wanamkimbilia,wanafikiri ni school bus!
we ni mweusi hadi umepewa jina la shadow of us[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya na domo lako ft 2
Umepaukaa paka ukijikuna unatoa ungawe ni mweusi hadi umepewa jina la shadow of us
wewe ni mjing.a umefeli hadi bloodtestUmepaukaa paka ukijikuna unatoa unga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenu mkowengi paka wakat wa kugawa msoc mnapanga folenwewe ni mjing.a umefeli hadi bloodtest
Sambora yako ndogo wewBichwa kama Sambora
Jicho kubwa kama limepachikwa na manatiwe ni mweusi hadi umepewa jina la shadow of us
Hehehehe.... Nyama weweHiyo avatar yako... domo ka la dangote kakosa tuzo
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
..... ndo maana kwenu unalala chiniHehehehe.... Nyama wewe
Na we uvaongea nini huoni wako ka yai vizaUwe unapiga mswaki bhana. Mdomo unanuka utadhani panya kafia huko tangu jana.