Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
wapi mentor?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWee Nelson wewe Unataka kushughulikiwa ama?? Avatar yako hio ohooooooo
ulimi kama dekio la mochwariMuone nywele kama mavuzi ya marehemu.
HahahaBabaako ni mnene hadi akivaa ile shati yake ya njano watoto wanamkimbilia,wanafikiri ni school bus!
Kwenu mpo wengi hadi baba yenu akiwakuta sebuleni anawasalimia, hamjabo wananchi.Kwenu mpo wengi mpaka muakianza Kikao utafikiri *Kipind cha Malumbano ya ~Hoja~ ITV
Mwone avater yake, nywele kama mafvuzi ya idd aminiulimi kama dekio la mochwari
sura mbaya paka umekataliwa kucheza movie za kutishaMwone avater yake, nywele kama mafvuzi ya idd amini
Una chogo kubwa hadi identity card yako imefura kwa nyumasura mbaya paka umekataliwa kucheza movie za kutisha
Wewe ndiyo nakutaka nianze na wewe, muone nywele za kwenye kwapa ngumu, ndefu kama katani.....hahahaha nafuata sheria za game hate the game not playerulimi kama dekio la mochwari
hahaaaahaaa naona umetibua mzinga wa nyukiWewe ndiyo nakutaka nianze na wewe, muone nywele za kwenye kwapa ngumu, ndefu kama katani.....hahahaha nafuata sheria za game hate the game not player
Hahahahaha aisehh naona umeziachia nyuki acha nitoke duki, siku wezihahaaaahaaa naona umetibua mzinga wa nyuki
MASHAVU KAMA PAKA MWENYE MAWAZO