Mtanie wa juu yako

Mtanie wa juu yako

Mashavu yamekutepeta kama tumbo la msechu[emoji100][emoji100][emoji13][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100][emoji100]
 
me nna watoto wakike mkinitania .. nitakua co baba mkwe wenu
 
Miaka mitatu uliyokaa mjini bado hujajua kiswahili... blanketi unaita blangeti
Mnyonge wangu huyu hapa eti yello Masai...

Lichecki....Likitovu likubwa kama lile la kutaftia stesheni kwenye radio mbao za zamani....ahaha!
 
Miaka mitatu uliyokaa mjini bado hujajua kiswahili... blanketi unaita blangeti
Ndio maana ulitafuna thermometer ukameza pale hospitali! Ulitushangaza sana pale doctor alipokuuliza "Masai thermometer niliyokuwekea chini ya ulimi iko wapi? Ukajibu eti imetafuna akamesa amesania ni niu modeli ya dawa"
 
Back
Top Bottom