Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miguu kama miti ya gengeniUlivyo nenepa alafu umevaa t shit ya njano mpaka watoto wakajua school bus.
kitovu kama kigunziUnamtania manyani nyani kaacha nguo kavaa majani kichwa kidogo kama tumbili
mbishi adi uligoma kuzaliwa uchiDuh balaaaaaa Mdomo mkubwa kiasi kwamba unakula chapati bila kukunja.
KENZY kwenu kuchafu mpaka mende na nzi wanavaa yeboyebo[emoji125] [emoji125]Duh! humu mtu anaweza kulia
ndo maana kwenu mpo wengi mpk wengine mnaitwa nakadhalika!KENZY kwenu kuchafu mpaka mende na nzi wanavaa yeboyebo[emoji125] [emoji125]
Hahahaha.....KENZY una sura mbaya mpaka ukijijiangalia kwenye kioo kinaandika please wait......ndo maana kwenu mpo wengi mpk wengine mnaitwa nakadhalika!
Bora mimi please wait wewe kinaandika UFO! means un identifying objectHahahaha.....KENZY una sura mbaya mpaka ukijijiangalia kwenye kioo kinaandika please wait......
pua kama kisiginoKuna boss wangu hapo juu ana kiuno ka nyigu....akinifuatilia mnisadie huu utani tu
mcheki sura mbaya kufa hutakime nna watoto wakike mkinitania .. nitakua co baba mkwe wenu
hahaaaaaaaaaKENZY kwenu kuchafu mpaka mende na nzi wanavaa yeboyebo[emoji125] [emoji125]
mcheki sura mbaya kufa hutaki
hahaaaaaaaaa