Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda.Unamtania manyani nyani kaacha nguo kavaa majani kichwa kidogo kama tumbili
Nakupenda.
Hahahaha asee wewe kiboko. Nitanie na mimiulimi kama dekio la mochwari
mweusi kama kivuli cha takoHahahaha asee wewe kiboko. Nitanie na mimi
umekomaa kidevu kama kanwa la pundaChoon Kwenu Kulivyo Kuchafu Hadi Mende Wanatema Mate
Naskia kwenu kuna wizi mpaka mnaingiza mageti ndaniWe ni mweusi hadi ukiingia kwenye daladala inakuwa tinted
mbwaa wenu ni mzee sana hadi anaanza kuwa simbaNaskia kwenu kuna wizi mpaka mnaingiza mageti ndani
babu ako kazeeka hadi kwapani ameota matembeleNaskia kwenu kuna wizi mpaka mnaingiza mageti ndani
umekonda hadi ukisimama kwenye ukuta unaonekana kama ufambwaa wenu ni mzee sana hadi anaanza kuwa simba
umekonda kama MKUKIumekonda hadi ukisimama kwenye ukuta unaonekana kama ufa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mcheki pua yake kama kona ya sambusa
Hahahah we hataribabu ako kazeeka hadi kwapani ameota matembele
hamorapa weweHahahah we hatari
Hahhaahahahhamorapa wewe
umekoma mpaka ukfunga jcho lnalia KOBoya ww
Private geologist
Iyo avatar yako mbayaa km picha za wahengaumekoma mpaka ukfunga jcho lnalia KO
Kwani wewe avatar yako huioni? Jicho lako moja dogo kama mpiga chabo!Iyo avatar yako mbayaa km picha za wahenga