Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Una Kibiyongo kwenye makalio ndiyo maana hukai kwenye sofa unakaa Chini.mkuu nakunyamazisha lasimi kwa style hii "naomba ushuke kwenye gari langu kwa huu mziki tuusikilizao kwa furaha yangu na mke wangu, subiri ukinunua gari lako utatikisa kichwa asante mzee wa ureno"