mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kwani Dada wewe ni zao la mbio Za mwenge?
Wewe ni mtanzania wa kuzaliwa au mhamiaji haramu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Dada wewe ni zao la mbio Za mwenge?
Wewe ni mtanzania wa kuzaliwa au mhamiaji haramu?
Mkuu hapa tunazungumzia uraia wa Tanzania kwa Ptof. Gurnah. Hakuna uraia pacha. Kuishi Uingereza hakumuondolei mtu uraia. Kambona alikaa Uingereza miaka mingi sijasikia na sitosikia akiambiwa sio raia. Ukipenda boga upende na mti wake.Tz hatuna uraia pacha mtu ameishi huko miaka yote hadi kuwa prof. Eti mnajitapa mtanzania ukiulizwa hata kitabu chake kimoja ushawahi kukiona utatoa mimacho tu
Kambona kwani alikuwa na passport ya Uingereza vile ??Mkuu hapa tunazungumzia uraia wa Tanzania kwa Ptof. Gurnah. Hakuna uraia pacha. Kuishi Uingereza hakumuondolei mtu uraia. Kambona alikaa Uingereza miaka mingi sijasikia na sitosikia akiambiwa sio raia. Ukipenda boga upende na mti wake.
Ametangaziwa na Kamati ya Nobel prize kama amezaliwa Zanzibar sasa kama wengine wanampakazia u Tanganyika / utanzania kazi kwenuSio mtanzania ni muingereza mwenye asili ya Tz na kwenye tuzo hiyo kaiwakilisha Uingereza sio Tz.
Hili ni swali au jibu?Kambona kwani alikuwa na passport ya Uingereza vile ??
SwaliHili ni swali au jibu?
Mkuu habari hapa ilikuwa huyu Prof. Kaishi Uingereza na kafundisha huko. Mwingine akauliza kuishi kote huko Bado ni Mtanzania? Mimi nikajibu ni Mtanzania ikiwa hajaukana Utanzania. Sasa swala la paspoti labda wewe sasa uthibitishe kwamba anayo paspoti ya Uingereza. Ikitokea anayo sheria ya uraia Iko waziSwali
Mimi si Mtanzania ni Mzanzibari niliyevamiwa na Tanganyika 1964. Mtanganyika ( Mtanzania ) ananilazimisha niuchukuwe Lakini one day yes tutamwachia mwenyewe
Kapewa bilion 2Kama haileti hela Basi haimake sense. Afu picha kila siku tunawakumbusha mnataka mpaka muwe mnabembelezwa au?lete hio picha ya mshindi wa nobe!
Ni kweli ninachojua ni risasi na bakora Za kulazimishwa niwe M tanganyika kwa jina la Tanzania Na Muungano kila siku Za uchafuzi unaoitwa uchaguziKumbe wewe ndio mtu wa aina hiyo? Nikuache tuu maana hakuna kitu unajua wala unaweza jua
😏😏😏Ni kweli ninachojua ni risasi na bakora Za kulazimishwa niwe M tanganyika kwa jina la Tanzania Na Muungano kila siku Za uchafuzi unaoitwa uchaguzi
Ametangaziwa na Kamati ya Nobel price kama amezaliwa Zanzibar sasa kama wengine wanampakazia u Tanganyika / utanzania kazi kwenu
Mkuu habari hapa ilikuwa huyu Prof. Kaishi Uingereza na kafundisha huko. Mwingine akauliza kuishi kote huko Bado ni Mtanzania? Mimi nikajibu ni Mtanzania ikiwa hajaukana Utanzania. Sasa swala la paspoti labda wewe sasa uthibitishe kwamba anayo paspoti ya Uingereza. Ikitokea anayo sheria ya uraia Iko wazi
Mkuu ikiwa jamaa zake wanasema hivyo Sina ubishi na hilo ila wkt mwingine watu wetu hawajui sheria.Mimi ninavyohisi Na nilivyoambiwa Na watu wa Familia yake ni kuwa Si Mtanzania Na Huo ni sababu Moja iliyomfanya aukimbie
Mimi ni mtanzania, naipenda nchi yangu, nasikitika tu kwamba kuna kikundi cha magaidi wanaojiita ccm wanaididimiza nchi hii kwenye lindi la ufukara.Kwa hiyo kama wewe hujafaidika na unaichukia CCM ndio unaichukia Tanzania!? Na unataka na Abdulrazak aichukie!?
Mwenzio yeye anaipenda Tanzania na anajivunia kutambulika hivyo. Na tuzo aliyoipata ni moja ya faida kubwa kutokana na kutambulika kama mtanzania
Tujifunze kuona fursa na kupunguza lawama, tukifanikiwa hapo tunaweza pata mazuri toka hata kile wengine wanaokiona hakifai