Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

'I thought it was a 'joke!': Nobel Prize literature winner Abdulrazak Gurnah says

Tanzanian novelist Abdulrazak Gurnah won the 2021 Nobel Prize in Literature for his ‘uncompromising’ writing on the effects colonialism. But when the Nobel committee notified him of his victory, he initially thought it was a prank phone caller.
Source : Reuters
 
'I thought it was a 'joke!': Nobel Prize literature winner Abdulrazak Gurnah says

Tanzanian novelist Abdulrazak Gurnah won the 2021 Nobel Prize in Literature for his ‘uncompromising’ writing on the effects colonialism. But when the Nobel committee notified him of his victory, he initially thought it was a prank phone caller.
Source : Reuters


Pongezi kwake
 
Novelista de África, Abdulrazak Gurnah, gana el Nobel de Literatura



Noticias de último momento: Gurnah, que creció en la isla de Zanzíbar pero llegó a Inglaterra como refugiado a finales de la década de 1960, fue galardonado por su escritura "empática y sin compromisos de los efectos del colonialismo y el destino de los refugiados atrapados entre culturas y continentes".
Source : El Tiempo
 
Pongezi kwake

Lazima tumpe pongezi huyu mwandishi wa vitabu kadhaa tajwa duniani aliye pia mwanzuoni mbobevu wa lugha ya Kiingereza atokae Zanzibar Tanzania.

Baadhi ya Watu chache sana wana athiriwa na mtazamo-hafidhina kwa vile hawajawahi kutoka kwenda mbali na vijiji vyao, wilaya, mikoa au nchi zao ndiyo hao wanamkataa huyu kuwa siyo Mzanzibari wala Mtanzania. Lakini wengi wana mtizamo tofauti na wahafidhina hawa maana wanajua manufaaya kuhamia kijiji kingine au wilaya , mkoa na hata nchi nyingine.

Huo ni mtizamo wao wa kidunia ambao pia mwandishi huyu mkongwe amezungumzia suala hili la ubaguzi ktk kitabu hiki kilichompatia tuzo ya Noble ya Literature. Na mtizamo huu haupo Tanzania tu bali duniani kote kuhusu nani ni mtu wa kwao na nani si wakwao.
 
Unamaanisha hii Tanzania ya 1961? Au unamaanisha sio Wabantu?

Ukienda far enough utagundua hata hao unaoita ni Natives nao ni wahamiaji tu....

Back to the Topic..., kama jamaa mwenyewe anajitambua kama mtanzania basi ni mtanzania ila kama yeye anajitambua vinginevyo na watu kulazimisha sababu ya neema aliyopata basi hii tabia ni ya kukemea....
Watu wanalazimisha neema tu, amehamia UK toka 1960's huko akitokea Zanzibar plus he arrived in the UK as a refugee
 
Watu wanalazimisha neema tu, amehamia UK toka 1960's huko akitokea Zanzibar plus he arrived in the UK as a refugee

Watu wengine wametoka makwao Tandahimba hapahapa Tanzania wakiwa na umri wa miaka miwili wakahamia mikoa mingine lakini wanajihesabia kwao ni Tandahimba ingawa hawajarudi toka walipokuwa wana umri wa miaka 2 na sasa wana umri wa miaka 28 na wanaishi Tanga miaka 26 mfululizo.
 
Watu wengine wametoka makwao hapahapa Tanzania wakiwa na miaka miwili wakahamia mikoa mingine lakini wanajihesabia kwao ni Tandahimba ingawa hawajarudi toka walipokuwa wana umri wa miaka 2 na sasa wana umri wa miaka 28 na wanaishi Tanga miaka 26 mfululizo.
Upo sahihi.
 
Huyu ni Mwarabu, genetic make up yake ni Arabic genes.......... Tunataka mzaliwa wa Tandahimba apate Nobel Prize, siyo mwarabu halafu ngozi nyeusi mnajisifu

Huo ni ubaguzi wa rangi.

Huyu Mtanzania ni somo zuri sana kwa waendesha siasa uchwara huko visiwani dhidi ya “machotara wa Hizbu”. Ni aibu kuwapiga vita Watanzania wenzenu kwa uroho wa madaraka tu.

Abdulrazak anajitambulisha kama Mtanzania/Mzanzibar huku nchi yake haina habari. Maandiko yake yanampambanua kama mwanazuoni makini anayestahili sifa na kutambuliwa. Lakini huku kwetu siasa za mizengwe ndio kitu cha maana.
 
Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah

Source: Al jazeera

Mungu ni mwema wakati wote

=====

Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature)

Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Kent. Ameandika riwaya (Novels) kadhaa zikiwemo "Paradise" na "Desertion"


Tanzanian author Abdulrazak Gurnah has won the 2021 Nobel Prize in literature, the award-giving body said.

The prestigious prize was awarded on Thursday by the Swedish Academy, which cited Gurnah’s “uncompromising and compassionate penetration of the effects of colonialism and the fate of the refugee”.

Born in Zanzibar and based in England, Gurnah is a professor at the University of Kent. His novel “Paradise” was shortlisted for the Booker Prize in 1994.

The prestigious award comes with a gold medal and 10 million Swedish kronor ($1.14m).

Gurnah would have normally received the Nobel from King Carl XVI Gustaf at a formal ceremony in Stockholm on December 10, the anniversary of the 1896 death of scientist Alfred Nobel who created the prizes in his last will and testament.

But the in-person ceremony has been cancelled for the second straight year due to the pandemic and replaced with a televised ceremony showing the laureates receiving their awards in their home countries.

Of the 118 literature laureates since the first Nobel was awarded in 1901, 95 – or more than 80 percent – have been Europeans or North Americans.

Last year’s prize went to American poet Louise Gluck for what the judges described as her “unmistakable poetic voice that with austere beauty makes individual existence universal”.

Gluck was a popular choice after several years of controversy. In 2018, the award was postponed after sex abuse allegations rocked the Swedish Academy, the secretive body that chooses the winners.

Source: Tanzania’s Abdulrazak Gurnah wins 2021 Nobel Prize in literature
Huyu sio Mtanzania , alizaliwa Zanzibar na akakimbia enzi za kifalme kule Zanzibar hata kabla ya Zanzibar haijakuwa huru. Ni Mtanzania gani anamjua kama sio hao wazungu pekee. Hata hapa Tanzania kuna watu wengi wamezaliwa hapa lakini sio Watanzania, tusipate sifa za kutupaka mafuta ya mgongo.
 
Unamaanisha hii Tanzania ya 1961? Au unamaanisha sio Wabantu?

Ukienda far enough utagundua hata hao unaoita ni Natives nao ni wahamiaji tu....

Back to the Topic..., kama jamaa mwenyewe anajitambua kama mtanzania basi ni mtanzania ila kama yeye anajitambua vinginevyo na watu kulazimisha sababu ya neema aliyopata basi hii tabia ni ya kukemea....
Hata Bolizozo anajiita Mtanzania
 
Mbona wapemba hapo kariakoo....hamuwaiti Watanzania mnawaita wazanzibar....muiteni mzanzibar ashinda tuzo ya NOBEL ,nilipo muona tu sura taarifa ya habari bbc swahili nikajua ni mtu kutoka Zenj.
 
Umeumia eeeh🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaweza kuwa na mawazo sawa ila sio kufanana Mindi, unachoona wewe sicho ninachoona mimi
Wewe mwenyewe zao la CCM 😆😆😆😆
Kwani Dada wewe ni zao la mbio Za mwenge?
 
Kwa ujumla CCM ya sasa hivi ni ya watu wapuuzi kabisa! Hata wajinga ni watu mashuhuri ndani ya CCM. Enzi za Nyerere, ilikuwa ni sehemu ya kutia adabu watu wapuuzi.
Nyerere ndiye hamna kitu kabisa. Biblia imesema kwa matunda Yao utawatambua. CCM ni mti uliopandwa Na Nyerere Na haya mavi wanayokunya CCM ndiyo matunda
 
Naona Ni zamu ya wazanzi awamu hii na wanavyojua kudeka sasa
 
Afadhali mwafarika na tena mtanzania ameng'aa. Ni zaidi ya miaka 40 tangu mwafrika pekee Wole Soyinka wa Nigeria aipate tuzo hiyo. Miaka ya hivi karibuni ilionekana kama vile mkenya Ngugi wa Thion'go angeweza kuipata lakini haikutokea.
 
Back
Top Bottom