Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Mkuu pole...juzi tu umempoteza class mate wako EddoR.i.P Classmate......[emoji26]
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole...juzi tu umempoteza class mate wako EddoR.i.P Classmate......[emoji26]
Namjua,mfupi hivi kadogo kadogoAna mdogo wake wa kike nadhani naye alienda Yale univ.
Aise,wote wako vizuriAna mdogo wake wa kike nadhani naye alienda Yale univ.
Yap ana swag za kiume hivi nilidhani nae alikwenda nje maana kipindi amemaliza kulikuwa na stori kama hizoNamjua,mfupi hivi kadogo kadogo
kalikua kanapenda kaptula na kuvaa kiume
Kalisoma UDSM Computer Engineering
The funny thing is,watoto wote walipokua wanaendelea kukua ndio akili zilikua zinawazidi zaidi
Baba yao worked at TTCL kama engineer,he was the smartest guy there,ila very humble na mkimya
Mama yao ni very charming na mchangamfu sana
Hiki kifo kimeniuma sana aisee....I cant imagine maza wake ana-feel vipi...so sad!
nakajua tangu katoto kabisa..Yap ana swag za kiume hivi nilidhani nae alikwenda nje
Daah Wende Amani! Necta mwaka wetu kakimbiza huyu nadhani akapata Scholarship kwenda mambele! Kumbe ameshafariki?Nimemkumbuka Wende Amani kisamfu alikuwa best student necta. Na yeye alienda chuo marekani Stanford kwa scholarship. Na akapata kazi nzuri kule kule california.
Akafa kifo kisichoeleweka. Mwili wake ulikutwa tu kwenye appartment aliyikuwa anaishi california
Kwa nini Vifo vya hawa ma genious vinakuwa sio vya kawaida ?
Asante mkuu, na mkono wa pole napokea..😥Mkuu pole...juzi tu umempoteza class mate wako Eddo
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Huyo sio mbeba maboksi kama wewe. Huyo ni intellectual mkuu.Dah! Pole kwa familia ya huyo mbeba maboksi.
Diaspora, u mzima wewe. Tulikutafuta sana humu JF, tulijua umejinyonga.Hiyo laki nne unaona kidogo wakati kina adriz kila siku wanaomba waipate.
Sasa ulitaka waseme ameajiriwa na nani? Sawa, ameajiriwa na Mwijaku basi uridhike.Show off hadi kwenye misiba eti aliyeajiriwa na google
Anyway poleni kwa kufiwa
Hakuna cha wivu wala uchawi kifo ni kifo tu kafa kama wanavyokufa wengineSasa ulitaka waseme ameajiriwa na nani? Sawa, ameajiriwa na Mwijaku basi uridhike.
Wacha Roho Mbaya na Wivu. Uchawi unakukaribia dogo. Utakuwa mchawi muda si mrefu.
Rafiki yako Maghayo Karudi hewani mkuu.
Sasa mzee ulitaka waandikaje? Kweli "mental case is real"Hakuna cha wivu wala uchawi kifo ni kifo tu kafa kama wanavyokufa wengine
Lengo la mwandishi ilikuwa tu tujue jamaa alikuwa mfanyakazi google
Yap ndio kenyewe na tumasikio twake tule 😄nakajua tangu katoto kabisa..
kanavaa kaptula na kucheza mpira hatari kabisa...
im sure kapo nje pia kwa masters au kazi
very very bright kids kwakweli
Kwani mbeba maboksi maana yake ni nini?Huyo sio mbeba maboksi kama wewe. Huyo ni intellectual mkuu.