TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Ana mdogo wake wa kike nadhani naye alienda Yale univ.
Namjua,mfupi hivi kadogo kadogo

kalikua kanapenda kaptula na kuvaa kiume

Kalisoma UDSM Computer Engineering

The funny thing is,watoto wote walipokua wanaendelea kukua ndio akili zilikua zinawazidi zaidi

Baba yao worked at TTCL kama engineer,he was the smartest guy there,ila very humble na mkimya

Mama yao ni very charming na mchangamfu sana

Hiki kifo kimeniuma sana aisee....I cant imagine maza wake ana-feel vipi...so sad!
 
Yap ana swag za kiume hivi nilidhani nae alikwenda nje maana kipindi amemaliza kulikuwa na stori kama hizo
 
Daah Wende Amani! Necta mwaka wetu kakimbiza huyu nadhani akapata Scholarship kwenda mambele! Kumbe ameshafariki?
 
Wabongo wanaongoza kwa kudakia habari kwa mbele na kuielezea kama wanaijua, wakiskia mtu kajinyonga hata bila kujua sababu wao watahitimisha kwa kusema ni mapenzi ndo sababu ya kujinyonga

Huyu wameshahitimisha kauwawa, mbane mmoja sasa akuthibitishie uone anavyorukaruka
 
Sasa ulitaka waseme ameajiriwa na nani? Sawa, ameajiriwa na Mwijaku basi uridhike.

Wacha Roho Mbaya na Wivu. Uchawi unakukaribia dogo. Utakuwa mchawi muda si mrefu.
Hakuna cha wivu wala uchawi kifo ni kifo tu kafa kama wanavyokufa wengine

Lengo la mwandishi ilikuwa tu tujue jamaa alikuwa mfanyakazi google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…