TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Kwenye ajali hiyo, je ni yeye peke yake aliyeangukia kwenye maji? Wenzake walinusurikaje?
 
Sure, alikuwa High. wala siyo hujuma hizi wabongo wanajaribu kuanza kutengeneza. Ni ajali kama ajali zingine ukichangia pia kuwa tayari alishakuwa tungi.
 
Kimara sehemu gani Mkuu??
Ni Kimara Baruti,kama unaelekea Mbezi upande wa kushoto, then unazama bondeni chini chini kule ndio home kwao

Nyumba nzima Manchester United kuanzia maza,dingi,watoto,etc..very humble people,watoto wapole na wachangamfu hasa yule bro wao Alex....

Marehemu genius ndio alikua the most quiet one than all three...ni maajabu nije nisikie kuna mzungu alikua na beef nae,so strange

Ila huu msiba mimi personally umeniuma,maana wale machalii nawajua tangu wakiwa sekondari,halafu watu wa maana wasio na tatizo na wanadamu ndio wanasepaga
 
Kwa safety measures za mambelez inawezekana kweli wakapanda boat bila life jackets? Pole kwa familia ya mwamba!!
Yatch party za bongo si mnaona wanavyokula bata kina gigy..sasa mtu alewe aanguke kwenye maj na bado muanze lawama jaman.dah
 
Asante Mkuu nashukuru kwa kunipa direction.. Hapana hakuwa na bifu na mtu, ni ajali tu kama ajali zingine maana alikuwa ameonja pombe kidogo.
 
Asante Mkuu nashukuru kwa kunipa direction.. Hapana hakuwa na bifu na mtu, ni ajali tu kama ajali zingine maana alikuwa ameonja pombe kidogo.
Ni sawa

Ngoja tuone familia yao ije America walalamike wapewe official investigation halafu tuone results

Inawezekana ikawa ajali kweli bila tatizo,ila kwa jinsi wazungu walivyo very sneaky,nina wasiwasi..

Niko nao huku hawa wehu,umenunua nyumba mtaa wao tu wanaanza vikao

Wewe mtu anakuta sandwitch yake home imeungua kwenye oven anabeba semi-auto Uzi machine-gun anashoot shule ya msingi kuanzia getini hadi madarasani....wale jamaa ni wehu aisee
 
Watu potential wa taifa wanaenda kufanya KAZI Marekani , sisi kama taifa mnaturudishia mwili Kuzika
SaSa kama kupata ka tempo hata kwenye ka NGO Hadi uwe CHAWA sijui Kunguni hata angekuwa wewe ungebaki hukohuko sidhani kama Kuna mtu hapa tz alikuwa anakaribia salary yake ukimuondoa managing director wa GGM
 
Kumbe wana mambo za kiswahili!?
 
Kuajiriwa ni kujiajiriwa tu. Iwe Google au TAMISEMI. Unamtumikia bwana wako. RIP.

 
Pole sana home boy

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…