Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna skills nyingine ukiwa nazo ili uzifaidi lazima uende nje! Sasa software engineer hapa bongo utaitumia wapi? Labda ufundishe vyuoni na kukimbizana na majungu!Watu potential wa taifa wanaenda kufanya KAZI Marekani , sisi kama taifa mnaturudishia mwili Kuzika
Hakuna kitu kama hicho kwa hayo ni mambo ya wabongo wenye uelewa mdogoIpo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?
Watu huwa wanasema vipanga huwa wanafeli maisha kumbe wanatoboa mbele hukoView attachment 2918748
View attachment 2918751
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'.
View attachment 2918766
Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024 akiwa na wenzake 12 pamoja na Kapteni wa Boti hiyo. Polisi walianza kumtafuta kwa kutumia Boti nyingine na Helikopta bila mafanikio hadi walipopata taarifa za kupatikana kwa mwili huo ukielea Februari 27, 2024.
Kwa mujibu wa taarifa, Abraham alikuwa Mfanyakazi wa Google kwa miaka 9 baada ya kuwa mmoja wa Wanafunzi bora kutoka Chuo Kikuu cha Stanford. Baadaye aliajiriwa kama Mshauri wa Masuala ya Kompyuta chuoni hapo kwa mwaka mmoja.
Aidha, Mtanzania huyo alikuwa kati ya Wanafunzi Bora 12 waliofaulu vizuri Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2007 ambapo walipata nafasi ya kukutana na kupongezwa na Rais Jakaya Kikwete.
========
The body of a California man who fell from a chartered yacht making its way up the Miami River over the weekend was found floating in the water Tuesday, according to police.
Abraham Mgowano, 35, had been missing since falling from the 44-foot Sea Ray cabin cruiser around 2:30 p.m. Saturday as it headed westbound on the river near Lummus Park.
While confirming the Berkeley, California native’s body had been found, police with the Florida Fish and Wildlife Conservation, the lead agency investigating the case, did not release details about where Mgowano’s corpse was discovered nor who found him.
The 12 other people on the boat told investigators they saw him go overboard and never resurface, according to the initial incident report released by the FWC.
The report states the boat operator, Eddy Espinosa Hernandez, 39, was a captain hired by the passengers. He could not be reached for comment. Police noted in their report that he “showed no signs of impairment.”
The Coast Guard suspended its search for Mgowano around 8:15 p.m. Saturday after finding no signs of him.
The hunt on the river spanned from the Flagler Street and 7th Avenue bridges, as well as the nearby coastline, said Petty Officer 2nd Class Diana Sherbs, a Coast Guard spokeswoman.
Fish and Wildlife officers and officers with the city of Miami and Miami-Dade County continued their search this week.
“Our thoughts are with Mr. Mgowano’s friends and family during this difficult time,” the FWC said in a statement. “This is an active investigation.”
CBS NEWS
Kasomea Marekani pia. ChuoWatu potential wa taifa wanaenda kufanya KAZI Marekani , sisi kama taifa mnaturudishia mwili Kuzika
Are you that young?R.i.P Classmate......😥
And,we say hooray to the bold one!🙏R.i.P Classmate......😥
Inawezekana....na ukizingatia katoka nchi ambayo haina msuli hakuna kitu kitafanyika kuujua ukweli.Pengine kavumbua kitu bora zaidi hapo google na vile ni mweusi wamemzimisha na uvumbuzi wake wamepita nao, dunia hakuna wa kumwamini.
We,all,are students of life.Everybody is our classmate.Are you that young?
Kila MTU wa kiume akidanja ni class mateAre you that young?
No clue so far,na kifo siku zote kitabakia kuwa ni siri kwani anaeruhusu au anaejua kitakachokuaondoa duniani ni Mungu pekee,na asiporuhusu utabakia kuendelea kuishi kama tulivyo mimi na wewe hapa...Ipo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?