Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na lazima Ana uraia wa marekani tuUkichunguza Abraham mgowano vizuri, unaweza kuta ni mchaga
Hamna kitu kama hicho. OkHakuna kitu kama hicho kwa hayo ni mambo ya wabongo wenye uelewa mdogo
Sio mchaga ni mheheUkichunguza Abraham mgowano vizuri, unaweza kuta ni mchaga
Itakuwa yupo humu
Pokeni familiaView attachment 2918748
View attachment 2918751
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'.
View attachment 2918766
Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024 akiwa na wenzake 12 pamoja na Kapteni wa Boti hiyo. Polisi walianza kumtafuta kwa kutumia Boti nyingine na Helikopta bila mafanikio hadi walipopata taarifa za kupatikana kwa mwili huo ukielea Februari 27, 2024.
Kwa mujibu wa taarifa, Abraham alikuwa Mfanyakazi wa Google kwa miaka 9 baada ya kuwa mmoja wa Wanafunzi bora kutoka Chuo Kikuu cha Stanford. Baadaye aliajiriwa kama Mshauri wa Masuala ya Kompyuta chuoni hapo kwa mwaka mmoja.
Aidha, Mtanzania huyo alikuwa kati ya Wanafunzi Bora 12 waliofaulu vizuri Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2007 ambapo walipata nafasi ya kukutana na kupongezwa na Rais Jakaya Kikwete.
========
The body of a California man who fell from a chartered yacht making its way up the Miami River over the weekend was found floating in the water Tuesday, according to police.
Abraham Mgowano, 35, had been missing since falling from the 44-foot Sea Ray cabin cruiser around 2:30 p.m. Saturday as it headed westbound on the river near Lummus Park.
While confirming the Berkeley, California native’s body had been found, police with the Florida Fish and Wildlife Conservation, the lead agency investigating the case, did not release details about where Mgowano’s corpse was discovered nor who found him.
The 12 other people on the boat told investigators they saw him go overboard and never resurface, according to the initial incident report released by the FWC.
The report states the boat operator, Eddy Espinosa Hernandez, 39, was a captain hired by the passengers. He could not be reached for comment. Police noted in their report that he “showed no signs of impairment.”
The Coast Guard suspended its search for Mgowano around 8:15 p.m. Saturday after finding no signs of him.
The hunt on the river spanned from the Flagler Street and 7th Avenue bridges, as well as the nearby coastline, said Petty Officer 2nd Class Diana Sherbs, a Coast Guard spokeswoman.
Fish and Wildlife officers and officers with the city of Miami and Miami-Dade County continued their search this week.
“Our thoughts are with Mr. Mgowano’s friends and family during this difficult time,” the FWC said in a statement. “This is an active investigation.”
CBS NEWS
Uchunguzi wa wenzetu kidogo ni wa hali ya juu, na pia watu wao ni wepedi sana kuvipa vyombo vya usalama taarifa kwa kua wanalindwa na usiri yani mtu anaweza kua hajafurahia jambo ulolifanya ila anakua normal kabisa lakini nyuma ya pazia anatoa taarifa kwa mamlaka, mamlaka nao wanakua kama wanakuotea mwisho wa siku hufahamu kama umechomwa au umedakwa kawaida tu.Bahati mbaya watakao hojiwa labda wawe ndio wahusika wenyewe unadhani watakubali?
View: https://www.instagram.com/reel/C3vutT8rSVs/?utm_source=ig_web_copy_link
Juzi huyu jamaa alipost kua walisimamishwa kula bata coz watu walikua anatafuta mwili,turns out kumbe ndio huyu mbongo alieanguka.
Wabongo bwana, mnakujaga na conclusion zenu kwenye mambo kama haya ambayo yako wazi kabisa. CIA wanahusikaje na kuzama kwa mtu mzima kama huyo? Wjali zinatokea everyday take it or leave itCIA wapo kazini yaani mtu adondoke kwenye maji peke yake uchunguzi ufanyike juu ya tukio hilo.
Wamarekani kukupa uraia kama unaongeza value, wala hawachelewi,Na lazima Ana uraia wa marekani tu
Ova
Kule Kenya kuna ishu za wanariadha kuuana hasa ukiwa mvunja rekodi. Mwaka 2011 alifariki Sammy Wanjiru akiwa na miaka 24 t ambaye alitazamiwa kuja kuvunja rekodi nyingi.. wanasema alianguka kutoka ghorofani.Stori yake ni sawa na ile ya mwanariadha wa Kenya Kelvin Kiptum Cheruiyot aliyefariki kwenye ajali ya gari, Very young kabla hajafaidi matunda ya kazi yake...
Graveyard is full of unaccomplished dreams...
Sana tu. Ni ngumu kipanga kufeli maisha labda tu awe na tabia zingine za kishenziWatu huwa wanasema vipanga huwa wanafeli maisha kumbe wanatoboa mbele huko
Watu potential wa taifa wanaenda kufanya KAZI Marekani , sisi kama taifa mnaturudishia mwili Kuzika
Watu huwa wanasema vipanga huwa wanafeli maisha kumbe wanatoboa mbele huko
For real sema vilaza wenye wivu Wanapenda sana kuwachalazia.Sana tu. Ni ngumu kipanga kufeli maisha labda tu awe na tabia zingine za kishenzi
🤣🤣🤣 Wamarekani ovyo sana. Huwa wanawapa uraia wanariadha kiholela sana. Utakuta timu ya taifa la Marekani kuna Cheruiyot, Omolo, Bekele nk. Mtoto wa mtanzania Gidabuday ni mwanariadha wa timu ya taifa ya Marekani.Wamarekani kukupa uraia kama unaongeza value, wala hawachelewi,
Timu ya mathematics ya china ilikua unaongoza karibu kila mwaka mashindano hayo ya hesabu ya dunia, ikaja kupigwa chini mwaka flani ya timu ya marekani 🤣🤣🤣 (lakini hii timu ya marekani ilikua imeunda na wachina wenye uraia wa marekani, so kifupi ni kama wachina walikua wameshinda tena tu🤣)
Hakuna faulo kweli hapo....?
Kwa safety measures za mambelez inawezekana kweli wakapanda boat bila life jackets? Pole kwa familia ya mwamba!!
Ipo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?
Hakuna faulo kweli hapo....?