TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Watu huwa wanasema vipanga huwa wanafeli maisha kumbe wanatoboa mbele huko
 
Ipo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?
No clue so far,na kifo siku zote kitabakia kuwa ni siri kwani anaeruhusu au anaejua kitakachokuaondoa duniani ni Mungu pekee,na asiporuhusu utabakia kuendelea kuishi kama tulivyo mimi na wewe hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…