TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Pokeni familia
 
Bahati mbaya watakao hojiwa labda wawe ndio wahusika wenyewe unadhani watakubali?
Uchunguzi wa wenzetu kidogo ni wa hali ya juu, na pia watu wao ni wepedi sana kuvipa vyombo vya usalama taarifa kwa kua wanalindwa na usiri yani mtu anaweza kua hajafurahia jambo ulolifanya ila anakua normal kabisa lakini nyuma ya pazia anatoa taarifa kwa mamlaka, mamlaka nao wanakua kama wanakuotea mwisho wa siku hufahamu kama umechomwa au umedakwa kawaida tu.





Mwisho wa yote kumbe ku a watanzania wanakipiga sana uko ughaibuni kwenye field hii ya computer
 
Na lazima Ana uraia wa marekani tu

Ova
Wamarekani kukupa uraia kama unaongeza value, wala hawachelewi,

Timu ya mathematics ya china ilikua unaongoza karibu kila mwaka mashindano hayo ya hesabu ya dunia, ikaja kupigwa chini mwaka flani ya timu ya marekani 🤣🤣🤣 (lakini hii timu ya marekani ilikua imeunda na wachina wenye uraia wa marekani, so kifupi ni kama wachina walikua wameshinda tena tu🤣)
 
Stori yake ni sawa na ile ya mwanariadha wa Kenya Kelvin Kiptum Cheruiyot aliyefariki kwenye ajali ya gari, Very young kabla hajafaidi matunda ya kazi yake...

Graveyard is full of unaccomplished dreams...
Kule Kenya kuna ishu za wanariadha kuuana hasa ukiwa mvunja rekodi. Mwaka 2011 alifariki Sammy Wanjiru akiwa na miaka 24 t ambaye alitazamiwa kuja kuvunja rekodi nyingi.. wanasema alianguka kutoka ghorofani.
 
🤣🤣🤣 Wamarekani ovyo sana. Huwa wanawapa uraia wanariadha kiholela sana. Utakuta timu ya taifa la Marekani kuna Cheruiyot, Omolo, Bekele nk. Mtoto wa mtanzania Gidabuday ni mwanariadha wa timu ya taifa ya Marekani.
 
Hakuna faulo kweli hapo....?
Kwa safety measures za mambelez inawezekana kweli wakapanda boat bila life jackets? Pole kwa familia ya mwamba!!
Ipo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?
Hakuna faulo kweli hapo....?

Hamjui kwamba maji yanaua? Jaribuni kugugu stats za vifo vya maji USA mjionee, hii inatokea more often than you think. Last yr nimepoteza coworkers watatu kwa ajali za majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…