Ni changamoto Kwa kweliYani uache kufanya kazi USA kwenye utaalamu uje kufanya kazi Tanzania iliyojaa siasa na janja janja kila sekta..
Sio hao tu kuna yule Benjamin Fernandes mwanzilishi wa NALA alikataa kuweka makao makuu ya kampuni yake Tanzania akaamua bora aende Nairobi Kenya.
Utaogopesha watu sasa!R.i.P Classmate......😥
[emoji1] vijana watoto sahvi huku wao wamewekeza wawe wasanii wakataNyinyi kalieni uchawi tu.
Warudi wafanye niniNimekuwa nikijiuliza mbona watanzania wanaofanya kazi nje hawastaafu huko ?
Wengi plans zao kufanya kazi kama miaka 10 then kurudi bongo
Huku nyie wakina baba level &Co LtdViongozi wetu wajifunze kuboresha maslahi ya wataalamu.
Imagine Jamaa ameacha kufanya kazi kwenye Nchi yake akaenda Ughaibuni
Prof Benno Ndulu alikuwa anapiga kazi US
Anna Tibaijuka alikuwa anafanya kazi US
William Mgimwa naye hivyo hivyo
Prof Sospeter Muhongo alikuwa US
Hii inaonesha kama Nchi tumeshindwa kuwatumia Vizuri Wataalamu wetu na kuwapa thamani inayostahili [emoji119]
Rest in peace Champ [emoji24]
Wabongo bwana 😁Ipo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?
ukisoma secondary 2001 unamaliza 2008 kilichonishangaza ni mwamba kua na miaka 34 wakati miamba wote tuliomaliza huo mwaka mwaka kesho tunakua watu wa makamo kamili team 40 mwenzetu alituzunguka akaingia form one na miaka kumiR.I.P. Ila jamaa kasoma high school 2001 hadi 2008, si mchezo.
Mzee philip ntibanzokinza mpango hajambo?Kifo chake kinafikirisha sana - hapo uchunguzi unatakiwa. Huenda walihisi kwamba anaweza kuuza taarifa zao kwa makampuni, kuanzisha mtandao mwingine wenye ushindani nk nk nk
AiseePole kw Tz yetu ila Ukweli ni kwamba hiyo Ndio michongo ya wazungu wanapenda killing za ndani ya maji, eneo la maji.maana uchunguzi unakuwa mgum kinoma hivyo ndio njian rahisi kwao ukienda ulaya au kwa wanzungu epuka kwenda nao kwenye mito au baharini kama huna blacks wezako na watu unao waamini sana.
Na usipokee ushauri unao letwa Twende tukatalii sehemu flan amua kwa utashi wako. Ustoe Ratiba zako za matembezi , wazungu wana hila kinoma ila wanatumia Akili nyingi ..ogopa mtu anakuchekea kila siku ila ana lake analokupangia kwa siri ila ana subiri tu uingie kwenye kupatwa kwa mwezi.yani mkakati ulenge kwenye eneo huska.
La sivyo kuzamishwa ni Dakika chache tu na hakuna Cha finger print wala nn....Hapo
Mwamba walimlia rada siku nyingi hata hiyo safari Huenda walileta wazo naye akakubali kwenda kutalii bila kujua.
Na pia Lazma wakuleweshe kwanza kabla ya tukio.
..Hizo ngozi nyeupe nazijua wana wivu ila hawalogi😄..unaliwa Timing kuliko Paka anavyo Fanya kwa panya ....Paka Anaweza kukeshasha juu ya shimo la panya au njia anayopita panya.. akifanya kutoka tu au kupitia Hilo eneo Anao..imeisha hiyo. Ndivyo na hao Racist walivyo.
Yani mtu kama huyu aje hapa Tz asimamiwe na Nape Nnauye?😂😂😂😂😂Watu potential wa taifa wanaenda kufanya KAZI Marekani , sisi kama taifa mnaturudishia mwili Kuzika
Kwani ana shida gani?Yani mtu kama huyu aje hapa Tz asimamiwe na Nape Nnauye?😂😂😂😂😂
CIA tenaCIA wapo kazini yaani mtu adondoke kwenye maji peke yake uchunguzi ufanyike juu ya tukio hilo.
Mzungu Mmarekani akikwambia “lets go deer hunting” au “lets go boat fishing” ukatae kabisa hata kama ni rafiki yako wa karibu. Utakuta alikuwa ngozi nyeusi pekee yake kati ya hao abiria 12 na nahodha.View attachment 2918748
View attachment 2918751
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'.
View attachment 2918766
Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024 akiwa na wenzake 12 pamoja na Kapteni wa Boti hiyo. Polisi walianza kumtafuta kwa kutumia Boti nyingine na Helikopta bila mafanikio hadi walipopata taarifa za kupatikana kwa mwili huo ukielea Februari 27, 2024.
Kwa mujibu wa taarifa, Abraham alikuwa Mfanyakazi wa Google kwa miaka 9 baada ya kuwa mmoja wa Wanafunzi bora kutoka Chuo Kikuu cha Stanford. Baadaye aliajiriwa kama Mshauri wa Masuala ya Kompyuta chuoni hapo kwa mwaka mmoja.
Aidha, Mtanzania huyo alikuwa kati ya Wanafunzi Bora 12 waliofaulu vizuri Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2007 ambapo walipata nafasi ya kukutana na kupongezwa na Rais Jakaya Kikwete.
========
The body of a California man who fell from a chartered yacht making its way up the Miami River over the weekend was found floating in the water Tuesday, according to police.
Abraham Mgowano, 35, had been missing since falling from the 44-foot Sea Ray cabin cruiser around 2:30 p.m. Saturday as it headed westbound on the river near Lummus Park.
While confirming the Berkeley, California native’s body had been found, police with the Florida Fish and Wildlife Conservation, the lead agency investigating the case, did not release details about where Mgowano’s corpse was discovered nor who found him.
The 12 other people on the boat told investigators they saw him go overboard and never resurface, according to the initial incident report released by the FWC.
The report states the boat operator, Eddy Espinosa Hernandez, 39, was a captain hired by the passengers. He could not be reached for comment. Police noted in their report that he “showed no signs oimpairment.”
The Coast Guard suspended its search for Mgowano around 8:15 p.m. Saturday after finding no signs of him.
The hunt on the river spanned from the Flagler Street and 7th Avenue bridges, as well as the nearby coastline, said Petty Officer 2nd Class Diana Sherbs, a Coast Guard spokeswoman.
Fish and Wildlife officers and officers with the city of Miami and Miami-Dade County continued their search this week.
“Our thoughts are with Mr. Mgowano’s friends and family during this difficult time,” the FWC said in a statement. “This is an active investigation.”
CBS NEWS