Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe

Ur the true son of your father
 
Mtu anapata mshahara wa 1M kwa mwezi...halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka...huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine....anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada...hapa lazima aishi maisha ya msongo wa mawazo kila ifikapo january, mikopo, wizi na ulaji mwingi wa rushwa huko maofisini. Halafu hapa anakuja kujilinganisha na Mo dewji.
 
100% correct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…