LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #121
Ur the true son of your fatherMtu anaetoa mfano wa Mo dewji ni mpumbavu sana.
Anajua familia ya kina Mo dewji inamiliki mabilioni kabla hata Mo dewji hajazaliwa.
Mo Dewji kapewa nafasi ya baba yake kuongoza kampuni ya Mohammed Enterprises mwaka 1998. Kipindi hicho kampuni hiyo ina mauzo ya Bilioni 70 kwa mwaka.
Imagine mwaka 1998 Mo amekuta kampuni ina mauzo ya mabilioni.
Kipindi Mo dewji anasoma high school IST baba yake na Mo alikuwa ananunua kwa serikali kiwanda cha National Milling kilichokuwa kiwanda kikubwa cha ngano Tanzania
Mo dewji yupo shule baba yake ananunua viwanda kwa mabilioni.
Halafu mpuuzi humu anajilanganisha na Mo. Huku yeye mwenyewe anategemea ajira ya milioni moja na baba yake mkulima.
Ada aliyokuwa analipiwa Mo IST haifiki hata asilimia 0.00001 ya mapato ya baba yake. Ni sawa na uwe na kipato cha Milioni moja halafu ulipe ada shilingi elfu moja
Baba yake na Mo Dewji hakuwa anaenda bank kukopa ada. Ama kusumbua vikoba ili alipe ada