Simsomeshi mwanangu ili baadae aje kuwa ananipa hela. La hasha! Ninamsomesha mtoto wangu ili aweze kupata uwezo wa kujitegemea mwenyewe na kuwa responsible member of a society.
Kuwa responsible member of a society ni pamoja na kuwa useful to his or her parents or siblings in time of need like what happened to Mr.Ibu.
Watoto wake walicho takiwa kufanya ni kusimamia zoezi zima la matibabu ya baba yao.
Now see what they have done. What if kama Mr Ibu ali spend mamilioni kwenye "elimu" ya watoto wake? Probably atakuwa anatamani siku zirudi nyuma na atajilaumu why did he stress himself to pay his hard earned millions for his kids so called " education" only for them to prove their uselessness at the time when they had only one option and that is to be useful to their father.
What if kama angekuwa amewasomesha kwenye shule za serikali ambazo hazina gharama? Asinge regret sana kwa sababu asingekuwa amejistress kulipa ada ili watoto wake wasomee ujinga.
Kwako Wewe masikini wa kitanzania unae jaribu kuficha umasikini wako kwa ndugu jamaa na marafiki zako kupitia kuwasomesha watoto wako kwenye shule za English Mediums, take note. Kilicho mtokea Mr.Ibu kinaweza kukutokea hata wewe kwa namna moja ama nyingine.
Don't stress yourself. Soemsha watoto wako kwenye shule ambazo hazitakupa stress ya kulipa ada( kayumba)..
Usi idhulumu nafsi yako. Upo tayari kumlipa kila mtu kuanzia mmiliki wa shule anayo soma mtoto wako lakini wewe mwenyewe unashindwa kujilipa. Usisahau kujilipa mkuu kwa sababu eti unalipa mamilioni kwenye shule za EM. Acha huo utoto. Eat ur money. U only live once.Jiwekee akiba yako ya baadae. Watoto wako wasimamie kwenye hizo hizo Kayumba watafaulu tu kama wanavyo faulu watoto wengine kwenye shule za Kayumba ambao wamepata division one Kali tu ilhali watoto wengine kwenye shule za private wana 3na 4 na 0 na walisoma English Mediums.
Elimu haipaswi kuwa biashara inapaswa kuwa huduma.
Cha msingi, somesha kwa uwezo wako,
Kuacha kufanya kitu kzr, kwa sababu tu, kuna watu walifanya wakaumia, ni ujinga,tusipande ndege kwa sababu kuna waliopanda ndege ikaanguka ikawaua!
Au, tusipande meli kwa vile Mv bukoba ilizama, au tusijenge nyumba kwa vile, kuna watu waliangukiwa na Kuta za nyumba, au tusisome wala kupeleka watoto shule,kwa vile tu, mbona Diamond hakusoma na Ana pesa ndeeefu.
Angalia na upande wa pili, watoto wa kikwete ni marubani Qatar! Ukafikiri waliishia LA saba!
Watoto wa Aden lage,wamesoma Melbourne austalia universities, ukiwalinganisha na waliosoma UD, unafikri yupi ana chance kubwa ya kuapata ajira kwenye mashirika ya kidunia, world Bank, UN, ICJ,
Acha ujinga, wa sizitaki mbichi hizi, kwa vile umeshindwa kuzifikia,
Kuna uhusiano, wa, karibu Sana Kati yq kuwa na pesa na akili,
Mtoto wa Mo anasoma IST, Ada milioni 60! Kwa mwaka,kwa logic yako, huyu anapoteza muda!sasa na ni mwenye akili tumsikilize, wewe apeche alolo au Mo!
Mtoto wako anasoma kayumba, class mate wake, ni watoto wa, katibu kata,jirani mchoma mkaa, police, mwenzio watoto wake wapo International, class mate wao ni watoto wa mabalozi, mawaziri, foreigne diplomats,
Yupi anakuwa na network Bora!
Angalizo, unaweza soma kayumba, na ukafika mbali Sana, kama dangote, lakini,safari ni ndeeefu na ngumu, lakini, ukimwezesha mtoto pa kuanzia, na base nzuri ya elimu,connection, atafika kirshisi,
Hakuna ufahari, we ulisoma kayumba, na mtoto asome kayumba!
Kaangalie matokeo ya kidato cha nne, utajua kwanini tuna somesha hizo shule,
By the way, shule zetu tunazoita English medium, kwa nchi zilizoendelea ni shule za kawaida kabisa, ndivyo shule zinatskiwa kuwa,
Hizi kayumba, ni mabanda ya kuku tu!