Mtanzania adai kugundua dawa ya corona, ataka kuonana na Waziri wa Afya

Huyo nae anatafuta kwenda jera kwa haraka kabisa.

1, Atoe utafiti wa hiyo dawa kaanza lini na kuhitimisha lini?

2, Wagonjwa wangapi wamepona kipitia dawa yake hiyo? Wakuthibitisha wapo? Asisumbuke kumtafuta waziri. Ulipewa bure tibu bure mafanikio yako ndo yatakufanya utafutwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dawa za kutibu malaria zipo lakini tunashauriwa kutega neti kuzuia mbu...kuvaa kwake barakoa ni sawa.
 

Tapeli tu
Kwani anahitaji kibali kufukiza watu?
 
Si aende medical research..., waziri kipindi hiki akikutana na kila Hamisi, James, Asha na Hamida si atakosa muda wa kushughulikia issue nyingine ?

Na kama hana kipimo cha kujua kama mtu anayo Corona amejuaje kama anaweza kupima Corona (au na kipimo anacho)
 
Ni jambo jema hilo.. kwa kuwa ameomba kuonana na waziri asikilizwe asipuuzwe! Ifanyiwe research km itakua na ubora huo isaidie watu na wengine wenye uwezo huo waziwasilishe wizara ya afya kwa ajili ya uchunguzi km kweli dawa zao zinatibu! Huenda Mungu ameamua Tz ishine kupitia corona!
 
Tapeli anatakaapate sifa kupitia mgongo wa waziri,hana tofauti a babu wa Loliondo
 
Samahani kidogo,
Mtu anaposema
Ugonjwa wa Covid 19, unaotokana na Virus vya Corona hua ana maanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…