KAYAFA MKUU
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 242
- 297
Mzungu atapigwa bao na washirikina? Alishindwa Mkwawa kwenye vita vya majimaji, ndio itakuwa hawa majobless wa hapa Dar?
[/QMkuu! Kama kumbukumbu zangu zipo sawa,Mkwawa hakupigana kwenye vita vya Majimaji, vita vya Majimaji viliongozwa na Kinjekitile Ngwale,najua simu hizi za touch zimefanya auto correction ukiwa unaandika,ndiyo maana pakajitokeza typing error.Mzungu atapigwa bao na washirikina? Alishindwa Mkwawa kwenye vita vya majimaji, ndio itakuwa hawa majobless wa hapa Dar?
Hata hivyo naunga mkono hoja,Ni mapema sana kumwamini huyo jamaa.
Kwa nini lisiwe tapeli la CHADEMA?
View attachment 1437262
MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona.
Akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani Chanika huku akiwa na furaha na tabasabu tele Mwamsumbwe amesema kuwa dawa hiyo ambayo ameigundua hawezi kuitaja hadharani kwa sasa hadi pale atakapoona na Waziri Ummy Mwalimu.
"Natambua changamoto kubwa Dunia inapitia kwa sasa na kusababisha mataifa mbalimbali kuhaha kutafuta tiba ya corona Dawa yangu ambayo tayari nimeifanyia utafiti wa kutosha nimjeridhisha ina uwezo wa kutibu ugonjwa huo bila tatizo lolote, naomba kukutana na Waziri wa Afya nizungumze naye na kisha nipate baraka ili kuokoa maisha ya watu ambayo yanaangamia kwa Corona,"amesema.
Akifafanua zaidi kuhusu dawa hiyo Mwamsumbwe amesema kwamba dawa hiyo inauwezo wa kutibu mfumo mzima wa mapafu, kuondoka mafua makali pamoja kikohozi.
."Namuomba Waziri wa aje tuonane ninahakika dawa hii itasaidia kuponya ugonjwa huu wa Corona au kupunguza makali ya gonjwa."amesisitiza na kuongeza anao uhakika wa asilimia 100 wa dawa hiyo kutibu Corona.
Mkazi wa Chanika Dar, Seleman Mwamsumbwe ambae anadai kugundua dawa ya kutibu Corona akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya ili kuzungumza nae kwa kina.
Swali kama ana dawa kwanini kavaa maski kubwa hivyo ?
Pia hajikingi bali anawakinga wenginedawa za kutibu malaria zipo lakini tunashauriwa kutega neti kuzuia mbu...kuvaa kwake barakoa ni sawa.
Mfamasia aliwahi kuwaambia kuwa ukiwa na dawa na typhoid unaenda kunywa maji taka? Hebu muacheni Selemani atupe dawa jamani, huu ni wakati wetu wazungu waje kunywa kikombeKiki za kijinga tu. Kila mtu ana dawa ya Corona tukitaka kuonana na Waziri tutaleta mikusanyiko.
Barakoa yake ni kwaajili ya kuzuia mende wasiingie puani.?
Ufahamu wangu unapita akili za kuiga, mimi sio msukule kam wewe. Mpaka siku utakapojua Mwenyezi Mungu alikupa akili uzitendee kaziNi hivi, huu utapeli ndio ulichangia watu kwenda kwa babu kunywa maji machafu eti ni tiba! Ww utakuwa ni mshirikina lazima ndio maana unatoa povu.
Ufahamu wangu unapita akili za kuiga, mimi sio msukule kam wewe. Mpaka siku utakapojua Mwenyezi Mungu alikupa akili uzitendee kazi
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
HahahaahMwamsumbwe si ndo wale wale akina Ambilikile Mwasapile ? Wanyakyusa bana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Good QuestionView attachment 1437262
MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona.
Akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani Chanika huku akiwa na furaha na tabasabu tele Mwamsumbwe amesema kuwa dawa hiyo ambayo ameigundua hawezi kuitaja hadharani kwa sasa hadi pale atakapoona na Waziri Ummy Mwalimu.
"Natambua changamoto kubwa Dunia inapitia kwa sasa na kusababisha mataifa mbalimbali kuhaha kutafuta tiba ya corona Dawa yangu ambayo tayari nimeifanyia utafiti wa kutosha nimjeridhisha ina uwezo wa kutibu ugonjwa huo bila tatizo lolote, naomba kukutana na Waziri wa Afya nizungumze naye na kisha nipate baraka ili kuokoa maisha ya watu ambayo yanaangamia kwa Corona,"amesema.
Akifafanua zaidi kuhusu dawa hiyo Mwamsumbwe amesema kwamba dawa hiyo inauwezo wa kutibu mfumo mzima wa mapafu, kuondoka mafua makali pamoja kikohozi.
."Namuomba Waziri wa aje tuonane ninahakika dawa hii itasaidia kuponya ugonjwa huu wa Corona au kupunguza makali ya gonjwa."amesisitiza na kuongeza anao uhakika wa asilimia 100 wa dawa hiyo kutibu Corona.
Mkazi wa Chanika Dar, Seleman Mwamsumbwe ambae anadai kugundua dawa ya kutibu Corona akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya ili kuzungumza nae kwa kina.
Swali kama ana dawa kwanini kavaa maski kubwa hivyo ?
View attachment 1437262
MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona.
Akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani Chanika huku akiwa na furaha na tabasabu tele Mwamsumbwe amesema kuwa dawa hiyo ambayo ameigundua hawezi kuitaja hadharani kwa sasa hadi pale atakapoona na Waziri Ummy Mwalimu.
"Natambua changamoto kubwa Dunia inapitia kwa sasa na kusababisha mataifa mbalimbali kuhaha kutafuta tiba ya corona Dawa yangu ambayo tayari nimeifanyia utafiti wa kutosha nimjeridhisha ina uwezo wa kutibu ugonjwa huo bila tatizo lolote, naomba kukutana na Waziri wa Afya nizungumze naye na kisha nipate baraka ili kuokoa maisha ya watu ambayo yanaangamia kwa Corona,"amesema.
Akifafanua zaidi kuhusu dawa hiyo Mwamsumbwe amesema kwamba dawa hiyo inauwezo wa kutibu mfumo mzima wa mapafu, kuondoka mafua makali pamoja kikohozi.
."Namuomba Waziri wa aje tuonane ninahakika dawa hii itasaidia kuponya ugonjwa huu wa Corona au kupunguza makali ya gonjwa."amesisitiza na kuongeza anao uhakika wa asilimia 100 wa dawa hiyo kutibu Corona.
Mkazi wa Chanika Dar, Seleman Mwamsumbwe ambae anadai kugundua dawa ya kutibu Corona akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya ili kuzungumza nae kwa kina.
Swali kama ana dawa kwanini kavaa maski kubwa hivyo ?
Wanasayansi wako wapi? Taasisi zinazohisika ku endorse ziko wapi? Ni hivi, huu ujinga wa motandaoni ndio unaozuia invention. Wajinga humu wanadhani wanaogundua tiba hufanya nara moja tu wakatoka na jibu, kumbe ni test and fail nyingi tu.Ni hivi, huu utapeli ndio ulichangia watu kwenda kwa babu kunywa maji machafu eti ni tiba! Ww utakuwa ni mshirikina lazima ndio maana unatoa povu.
Tapeli Hutu.Kama anayo dawa apeleke MlonganzilaView attachment 1437262