Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
4,409
Reaction score
6,773
Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano kati ya wanahabari na watanzania hao ntaipost bdae kidogo.

080EF7FA-4B0E-4124-924A-9912402BF2A7.jpeg
9D4478E0-D8C3-42AF-BB23-AC93A23CA459.jpeg

CFE965B8-20CA-47FA-B4A8-53C6D6DB1B52.jpeg
 
Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.
Tatizo viongozi wetu wame tuaminisha nje ya nchi kuna pesa na fursa kushinda hapa nchni ndiyo maana kiongozi mkuu yeye atulii anasema anaenda kufata pesa nje ya nchi awezi kujifungia ndani na kupanga mikakati kwa Utajiri tulio nao.
 
Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano kati ya wanahabari na watanzania hao ntaipost bdae kidogo
Rip Masogange
 
Kikwete ajulishwe
 
Back
Top Bottom