Hizo ndo dili za watanzania af wajifanya wajanja sana, kuliko mataifa mengineMtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg
Maisha yake vip? Ana familia??Dah namjua kabisa huyo mwanetu wa shekilango
Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.Death is so easy because life is tough and rough.
Issue ni capital mkuu, kila mtu anawazo zuri sana la fursa , ila issue mtaji .Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikirua zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.
Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.Issue ni capital mkuu, kila mtu anawazo zuri sana la fursa , ila issue mtaji .
Sawa boss.Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhidi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.
Tatizo viongozi wetu wame tuaminisha nje ya nchi kuna pesa na fursa kushinda hapa nchni ndiyo maana kiongozi mkuu yeye atulii anasema anaenda kufata pesa nje ya nchi awezi kujifungia ndani na kupanga mikakati kwa Utajiri tulio nao.Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.
Rip MasogangeMtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano kati ya wanahabari na watanzania hao ntaipost bdae kidogo
Kikwete ajulishweMtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano kati ya wanahabari na watanzania hao ntaipost bdae kidogo
Familia itasavaivu tu Ni muda tu Kisha watarecoverMaisha yake vip? Ana familia??
Halafu pesa zote wanamalizia chini,chek wenzetu warundi, nigeria,wasomali,waethiopia,wakenya wao ufanya maendeleoHizo ndo dili za watanzania af wajifanya wajanja sana, kuliko mataifa mengine
Aliondoka na mali yakeRip Masogange