Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Wabongo washenzi sana wa tabia na sababu ni wivu tu na husda zao. Uwaga wana akili mavi sana za kuwaunganisha watu wote wanaoishi nje ya nchi, wakati watu waliopo nje kila mtu na mishe mishe zake. Innallillah Wainaillah Rjioun..
 
Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.
Yaani natamani nilike hii comment mara elf 10 hivi...maisha ya kukaa vijiweni na kujadili michongo tu ndo yapo. Na wakipewa kazi hawawezi. Wanasubiria dili za mamilioni. Ndo hizi sasa🥺🥺
 
Polisi wameua hakuna Mtanzania anaeweza kumeza sumu kwa kuogopa wala rushwa wakubwa Polisi wa Johannesburg shida yao wakiona hela nyingi au mzigo mkubwa wateja wanawajua kuua ni rahisi hiyo mbinu kufunga mfuko kichwani na kuweka maji wameitumia sana kuua Wanigeria wao hawana umoja kama Watanzania huwa wanatuogopa kwenye kutufanyia umafia wa kuua naona wameamua ila kilichowatokea hao Polisi na Raia wao nadhani hawatokuja kufanya huo ujinga tena Wanigeria wenyewe huwa wanabaki kulia tuu sasa hivi wanasema you small boy "Matatizo sana "wakitaka kupora hela...SA polisi ni majambazi tuu kama majambazi wengine ndio maana tulipopata mitaji ile sio sehemu salama ya kuishi ni kwenda na kutoka maana bado mali zipo na gharama ya kupata hivyo vitu sio kubwa kama Nchi zingine...
 
Inaelekea hii kazi ya upolisi ni majanga dunia nzima! Ina laana gani?
 
Hatukatai unamjua lakini bado huwezi kuwa wewe unazijua chocho zake zote za utafutaji,wote mimi wewe na waliokuwa wanaandamana hatuna tunalolijua kuhusu yaliyojiri kwenye hiyo scene wanaojua ni marehemu na hao wapekuzi,je alipoulizwa source ya hizo hela aliweza kuzitolea maelezo?

Ipo namna ninyi mnaoishi kwenye mataifa ya watu (kama upo huko) huwa mnafichana baadhi ya mambo so huyu anaweza kuwa alikuwa na machaka yake anayoyajua mwenyewe ya kupigia hela wewe huyajui.

NB;Kingine mnazingua,mnatukana Wazulu kwa Kiswahili wakati mnajua hawaelewi kwanini?hapo ndo mmezidi kuonekana Watanzania ni vichaa na wahalifu.
 
Kule majuu kwa Malkia, polisi wa ngazi ya chiiiini kabisa sharti la kwanza ni LAZIMA uwe na elimu ya digrii. Hiyo ni lazima.
USA pia Wana degree ya criminal justice, ila ni majanga matupu.
 
Mkuu kwanini msiende ubalozini wa kwetu hapo sauzi? Muombe kuonana na balozi, hili suala lisiishe hivi hivi tu ..huu ni UNYAMA...tena kwa MTANZANIA ..
 
Sawa pole sana kwa Ndugu na jamaa. Lakini maelezo yako yana walakini sana. Mtu atoke Disco usiku na pesa nyingi kiasi cha kufatiliwa na Polisi??

Yaani mtu abebe gunia la pesa aende nalo disco na arudi nalo?

Hizo zitakuwa ni pesa chafu tu.
 
Nimeona UTV wabongo wanakodisha private investigator na mwili upo kwa watunza miili binafsi. Kila la heri kwenu haki itendeke Ameeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…