Hata kama alikuwa anauza haramu ndy ateswe Hadi kupelekea KIfo?Sawa alikua anajishughulisha na nini? Ili tuanzie hapo haiwezi kuja tu asachiwe, auliwe kama hakuna taarifa yoyote yaani wazee waje tu?
Tatizo Police waliotekeleza unyama huo hawajulikani.Nimeona UTV wabongo wanakodisha private investigator na mwili upo kwa watunza miili binafsi. Kila la heri kwenu haki itendeke Ameeen
Polisi wa south Basi Wana kichaa,MTU hafanyi mishe mbaya wanamvamia tu wanamspry pilipili na kumfunika na mfuko na kumpiga mpaka kufaa.....Poleni sanaHuyo namjua wala hafanyi mishe za madawa, ameuawa na Polisi wa SA tu, jamaa kapuliziwa Spray zile za pilipili na kufunikwa mfuko ndio ikawa mwisho wake.
Watz wamekiwasha sana hapo.
Afu aliesema kweli wanamwita Fala.Yaani natamani nilike hii comment mara elf 10 hivi...maisha ya kukaa vijiweni na kujadili michongo tu ndo yapo. Na wakipewa kazi hawawezi. Wanasubiria dili za mamilioni. Ndo hizi sasa🥺🥺
Mwana school mate huyu ndugu yake alipost piaDah namjua kabisa huyo mwanetu wa shekilango
Vizuri mkuu ngoja tusubiri. Kitendo cha kinyama sana.Hizo process zinafanyika mkuu na wale polisi wanafahamika vile vile