Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Ndio ukakuze kalio ili uongeze idadi ya masponsor
Biashara matangazo, biashara uiboreshe ukitaka faida nzuri, ile ni biashara kama biashara zingine.....mwamba amevuta ktk harakati za utafutaji
 
Inasikitisha sana mtoto mrembo kama Shuu kufariki Uturuki kwa kuongeza msambwanda wakati kwa jinsi alivyo tu angeweza kula vichwa vizuri tu bila sajari.
 
Wizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Fanya kunipa moja basi mwenzio flat huku, mwili wangu wote sawa na kalio lako moja πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…