Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mbona hizo picha ni mdoli?

Ukoo wa kina Tembo naufahamu, Hakuna mdoli.

Kwao Dundani, njia ya kwenda kwetu Mkuranga. Kwa Dar walikua mtaa wa Udoe, Kariakoo, zamani sana.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
Kitonsa itakuwa ulikuwa unamfahamu?
 
Hawa watu hawakomi wala hawafuatilii haya maujinga
Miaka ya nyuma iliyopita kuna transgender mmoja mwanamke alibadili kuwa mwanaume
Halafu akageki udaktari na kusema ana uwezo wa kuongeza watu makalio

Alikuwa anachaji dollars 700 tu
Anakudunganga masindano ya ajabu na kukupasua halafu anafaza simenti halafu anakufunga kwa super glue utajijua mbele kwa mbele
Ila alikamatwa na kufungwa
Mnaouliza sauce hii hapa
Screenshot_20240504_172507_Chrome~2.png
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Tajiri naona haya mambo ya shape shepu umeyasomea vyema sana

Mungu ampokee mja wake
 
Halafu cha ajabu nimeona wanaomba mchango wa $4,500 za kuweza kurudisha mwili TZ.

Yani mtu aende na kiranga chake mwenyewe cha kutaka kumkosoa Mungu halafu ndugu na jamaa waje kuomba msaada wa kurudisha mwili wake.

Ikiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya hayo matako.
Kama hauna pesa ya kuchanga kaa kimya
 
Kama hauna pesa ya kuchanga kaa kimya
🖕🖕🖕Kaa hapa uzunguke zunguke.

Itakuwa na wewe unataka kwenda kuongeza matako. Sasa nenda ufe halafu uone kama waturuki hawatalisha mbwa wao mwili wako kwa kukosekana pesa za kukurudisha TZ.
 
Kiwingu kwa namna gani tena mzee? Yaani mfano wewe umegundua watu wanakula chakula chenye sumu pandikizi utawatazama tu wakila au utawatahadharisha?
Hiyo ni biashara ya watu ukumbuke. Mustakabali wa ustawi ktk maisha yao unategemea kwa kiasi fulani shughuli hiyo.
Ok. Je utaichukuaje hatua hiyo ikiwa wapo watu waliokula na wanaokula chakula hicho hicho unachodai umegundua kina sumu pandikizi bila kudhurika?
Huoni kwamba hao wenye biashara hiyo wanaweza kukuandama hata kukudhuru kwa kuwa unawaharibia biashara yao?Sasa ww jichanganye uone.
 
Dah Ajali kazini, Poleni sana wanafamilia. Hali ya uchumi ni ngumu ila ningekuungeni japo kidogo mana 4500 kwa sasa ni ndefu sana.
 
Wanaume tunawatesa sana wanawake hiyo yote sababu wanaume wameonekana kukoncentrate kwenye BIG NYASH
 
Wataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,

Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?
Mvujo wa damu nyingi.....alisikika mfagizi mmoja wa mwananyamala hospitali
 
Back
Top Bottom