Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Nukuu:" ............ tukiongea ni ngumu kueleweka."
Ndio na pia unaweza kujikuta umeingia kwenye vita ya kiuchumi bila sababu za msingi. Wanaotoa hiyo huduma wangelipenda na wanatamani wateja waende wengi ss wewe utakuwa unawawekea kiwingu.
Kiwingu kwa namna gani tena mzee? Yaani mfano wewe umegundua watu wanakula chakula chenye sumu pandikizi utawatazama tu wakila au utawatahadharisha?
 
Bila shaka huwa nashare kwenye baadhi ya posts nadhani kwasasa itabidi nijikite kwenye kuandika nyuzi zangu mwenye ili mtu akitaka kujifunza atazame nyuzi zangu na kupata details.
Mkuu ukianza hiyo project nipo hapa naomba niwe na wewe kila hatua.. pia unaweza andika kuhusu hii ishu ya plastic surgery vizri kabisa..
Utakua umesaidia wengi maana nipo katika kundi la watu ambao si leo wala kesho wanaingia mtaani na wanaweza kuja kuingia katika hatua kama hyo hivyo ni vyema tukawaelimisha zaid
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Mchangieni uyu dada mpambanaji haogopi chochote, walimu wanafia kwenye kazi ngumu ya chaki sembuse huyu.
Pia tako mpwete mowete sio mchezo nani asietamsni?
 
Wataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,

Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?
Picha inaogofya kiduchu

Hapa wanaweka silicon yenye asili ya jelly kwenye matiti baada ya kuyapunguza ukubwa
 
Isaya 45:9
[9]Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Au kazi yako, Hana mikono?
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Mbona hizo picha ni mdoli?

Ukoo wa kina Tembo naufahamu, Hakuna mdoli.

Kwao Dundani, njia ya kwenda kwetu Mkuranga. Kwa Dar walikua mtaa wa Udoe, Kariakoo, zamani sana.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Na kunamchango unapitishwa arudishwe bongo, tumhifadhi mTZ mwenzetu.
 
Wanakufa sana, now uingereza imepiga marufuku watu wake kwenda turkey kufanya hizo op
acha uongo wewe....

nchi za dunia ya kwanza hazitawaliwi na marufuku za RPC Muliro...
Mwingereza anaetaka kwenda popote kufanyiwa chochote anakwenda, yatakayomfika huko shauri yake.... Raia wa UK umpige marufuku kufanya anachofanya akiwa kwenye safari zake nje ya nchi ??? Are you a dope fiend ?...Yani mi diaspora yetu imekalia kufagia ma vyoo ya wazungu, haijui kusoma wala kuandika wala kufuatilia news za huko, hawajui chochote kinachoendelea nchi wanazoishi ...masikini ya mungu
 
Mboni wengine hawafi huyu imekuaje au kaenda kwa bei rahisi?
Sio kwamba kafa kwa huduma za bei nafuu wala wengine hawatoboi kisa wametoa gharama kubwa NO! Ni mapenzi ya mwenyezi MUNGU tu, mtu anafajifungua mwananyamala anapona ila inatokea wa aga Khan na nyinginezo km hiyo anafariki. Kama MUNGU kakupangia hivyo hata utoe pesa kiasi gani utakwenda tu
 
Apumzike mahali alipojichagulia,

Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??

Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Inategemea sana dada yangu. KUna wengine tunapenda makalio ya kawaida tu. BTW kwa Bongo hasa Dar, wanawake wenye makalio siyo wazuri wa kuoa kwa sababu wanapoona wanapigiwa miluzi kila wanakopita hudhani wao ni almasi hivyo hujenga viburi na udangaji kwenye ndoa. Wengine tu-learn in a hard way!
 
Uk
acha uongo wewe....

nchi za dunia ya kwanza hazitawaliwi na marufuku za RPC Muliro...
Mwingereza anaetaka kwenda popote kufanyiwa chochote anakwenda, yatakayomfika huko shauri yake.... Raia wa UK umpige marufuku kufanya anachofanya akiwa kwenye safari zake nje ya nchi ??? Are you a dope fiend ?...Yani mi diaspora yetu imekalia kufagia ma vyoo ya wazungu, haijui kusoma wala kuandika wala kufuatilia news za huko, hawajui chochote kinachoendelea nchi wanazoishi ...masikini ya mungu
Umeandika ujinga sana hapa ,umeropoka.
Haina maana kuwakataza. Alichosema ni kweli. Fanya uwezavyo lakini uingereza waliwaambia watu it's not healthy hivo wakaonywa. Kuonya si kukataza. Hivo walipiga marufuku.
Something else. Any medical tour to uturuki inayohusu upasuaji hutopata kibali cha kusafiri UK. ila ukienda kimpango wako it's up to you. Usiropoke usiyoyajua. Unaishi wapi UK?
 
Back
Top Bottom