Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Dada sasa atakuwa mzuri zaidi
 
Mboni wengine hawafi huyu imekuaje au kaenda kwa bei rahisi?
Naona hufuatilii habari za Dunia
Hapa 🇬🇧 tu tangu 2019 watu 28 wamekufa kwa ajili ya operation hizi na aina zingine
Watu wanadhani Uturuki ni best kumbe kuna makanjanja wengi tu
Na ukufungua kesi utaamua kusamehe tu maana utaitwa kila leo
 
Wanakufa sana, now uingereza imepiga marufuku watu wake kwenda turkey kufanya hizo op, bado hazijawa salama kwa asilimia kubwa.
Mkuu UK mtu anaenda kufanya plastic surgery akirudi mashine ya kusoma sura au Biometric Scanning inachanganyikiwa na haimpi green light, kwa sababu sura imebadilika mno

Sasa ukirudi tu ikigoma unaulizwq na uhamiaji hiyo ni sura ya Uturuki? 😄 🤣
 
Ukute alikuwa member mwenzetu humu, kumbe ana lake jambo.

Hata hivyo wadada mtambue sisi tunataka utelezi tu, mengine ni kachumbari wala sio ya muhimu sana. Wewe hakikisha natural lubricant ni ya kutosha, asiporidhika aende tu.
 
Dah ndio hivyo mzee, kuna vitu huwa tunafuatilia kisha tunapiga kimya hadi yatokee ndipo tunaongea maana dah tukiongea ni ngumu kueleweka.
Nukuu:" ............ tukiongea ni ngumu kueleweka."
Ndio na pia unaweza kujikuta umeingia kwenye vita ya kiuchumi bila sababu za msingi. Wanaotoa hiyo huduma wangelipenda na wanatamani wateja waende wengi ss wewe utakuwa unawawekea kiwingu.
 
Mmmmh hatarii sana hii ni complex mechanism aiseeee..
Wadada wanapitia mengi kumbe...
"........Wadada wanapitia mengi kumbe..."
Yaliyochanganyika na mateso makali mumohumo lakini hawaachi ........eti mtu anapanda ndege kwa gharama kubwa kwenda kutafuta msambwanda. Dah!
Haya sasa imekuwa "mchuma janga hula na wakwao"
 
Back
Top Bottom