Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

impelle

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
832
Reaction score
1,107
Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:-

“Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa na Balozi wetu ya kutii maagizo ya mamlaka za hapa, na kufuata sheria. Inatajwa kuwa mtanzania mkazi wa Beijing anayefanya kazi kwa miaka mingi hapa China.

Huyu jamaa anatajwa kuwa alikuwa anaenda Tanzania lakini safari haikuendelea kwa kuwa Dubai hakuna ndege ya kwenda Tanzania akalazimika kurudi Beijing, lakini baada ya kurudi Beijing alikataa kuvaa mask (huku china kuvaa mask kwa mtu yeyote ni lazima), alitoa lugha ya kifedhuli kwa mamlaka husika, na baada ya kuambiwa awe kwenye karantini aliikuka agizo na alivuinja camera ya usalama kwenye eneo analokaa na kutoka nje”

Nyongeza ya taarifa.

“Order ya deportation mtanzania mwenzetu niliyewaambia asubuhi imetolewa”

bcb418c2fd1c6d50c456185dc5e7ea2.jpg
im.jpg
 
Uharifu ni tabia ya mtu wala hauna uhusiano na nchi mharifu anayotoka, waharifu wapo kila pembe ya dunia hata hapa nilipokaa kuna mharifu anasubiri nijisahau afanye uharifu.
How is it a surprise kwamba mtanzania kafanya uharifu china?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
= Uhalifu
= Mhalifu
= Wahalifu
=Mhalifu
= Uhalifu
= Uhalifu

Wewe unafanya uhalifu wa kiwango cha ufisadi kwenye lugha yetu nzuri ya Kiswahili. Mhalifu mkubwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Madam upo? Habari za siku nyingi!
 
Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:-

“Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa na Balozi wetu ya kutii maagizo ya mamlaka za hapa, na kufuata sheria. Inatajwa kuwa mtanzania mkazi wa Beijing anayefanya kazi kwa miaka mingi hapa China. Huyu jamaa anatajwa kuwa alikuwa anaenda Tanzania lakini safari haikuendelea kwa kuwa Dubai hakuna ndege ya kwenda Tanzania akalazimika kurudi Beijing, lakini baada ya kurudi Beijing alikataa kuvaa mask (huku china kuvaa mask kwa mtu yeyote ni lazima), alitoa lugha ya kifedhuli kwa mamlaka husika, na baada ya kuambiwa awe kwenye karantini aliikuka agizo na alivuinja camera ya usalama kwenye eneo analokaa na kutoka nje”

Nyongeza ya taarifa.

“Order ya deportation mtanzania mwenzetu niliyewaambia asubuhi imetolewa”
View attachment 1406758View attachment 1406763
Tunahitaji raia wengi wawe watukutu kama huyo.
 
Back
Top Bottom