Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

Umeme ulivyokuwa ukikatika katika miaka hiyo anamshitaki nani hasa Tanesco au mitandao?

Sababu mitandao kufanya kazi hutegemea uwepo wa umeme kwenye minara yao

Hii kesi sijaielewa vizuri

Kila la heri kwa mshtaki mitandao
Mzee ukiskia kitu mnara umeme pale haukatiki na ikitokea ukazima mafundi wanafika chapu ni hivi ndani ya mnara kuna
Mifumo 3 ya umeme na iko automatic toa sababu nyingine unayo ijuwa [emoji16][emoji16]
 
Sijakuelewa hofu ya nn kuna vita? Na wananchi ni akina nani hao ambao hawatakiwi kuwa na wasiwasi? Kwamba walivyozima mtandao ilikuwa sahihi? Yaani unaona sawa! Kwahiyo mtu asidai haki au?
Ukiona mtu anasifia sn jua ni tapeli amejificha kwenye kusifia
 
Huyo sio mzalendo labda ni mwoga kama dem mwenye bikra yake nimuona mzalendo kama angeshitaki serikali ya jiwe kipindi hicho
Amekosea timing Kama angefungua kipindi kile ingekuwa na maana Hawa ni Kama wanalipwa ili watu wasijadili Mambo yanayoendelea ka utekaji
 
It make sense for Record Keeping
 
Inapendeza.

Enzi hizo n
Mwendazake alishasema Wanasheria wa serikali wanashindwa vipi kesi?

Sasa wanasheria wetu wa mutaani watambe kwa kufungua mikesi kibao tu.

Nani kama mama?
 
Inapendeza.

Enzi hizo n
Mwendazake alishasema Wanasheria wa serikali wanashindwa vipi kesi?
Kwahiyo ni uthibitisho kwa alichosema Rostam kuwa mahakama zinapokea maagizo kutoka juu?
Sasa wanasheria wetu wa mutaani watambe kwa kufungua mikesi kibao tu.
Mutaani❌

Mtaani✔️

Mikesi ❌

Kesi✔️

Wingi wa kesi sio mikesi.

Hivi Canada ulienda kusomea ujinga ajuza?
Nani kama mama?
Hizo ndio 4R za mama Abdul!

Hakika kafuata nyayo za dikteta wa Chato wanatanzania wanazuiliwa kutoa maoni yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…