Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

Mtanzania ahamisha maandamano MAREKANI KWA nyimbo za kiswahili..Waandamaji wamuitikia kwa kuimba kiswahili
Serious nimependa sana..kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.

Aje aandamane huku Tanzania maana huku ndio kwao. Aache kuvuruga Amani ya nchi za watu. Atafanya watanzania waanze kunyimwa kwenda Marekani kwasababu wataonekana ni wakorofi
 
😳😳😳😳😳 Unajuaje kama naye akili, jasho na damu yake imetumika kuijenga US!?
Uhuni wake ni upi? Kama ana uraia ana haki zote sawa na Mmarekani yeyote yule. Acheni kuonyesha ujinga kuhusu haki za mtu katika Nchi za watu.

... haki gani anaidai huko Marekani huyo mhuni? Haki yake iko Afrika arudi kuidai sio kupayuka kwenye nchi za watu walizozijenga kwa akili, jasho, na damu.
 
Mtanzania ahamisha maandamano MAREKANI KWA nyimbo za kiswahili..Waandamaji wamuitikia kwa kuimba kiswahili
Serious nimependa sana..kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.

🀣🀣🀣🀣 muda sio mrefu atarudishwa Bongo huyu ilanimefurahi sana mwana anakuza Lugha anajivunia kuongea kiswahili
πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…