Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Tanzania tuna amani sana. Tunamshukuru sana Rais Magufuli kwa hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAKA NCHI YETU...BADO TUPO GIZANI SANAIngekuwa Tanzania Nusu wangekuwa marehemu.
Ni kweli.KAKA NCHI YETU...BADO TUPO GIZANI SANA
Tanzania tuna amani sana. Tunamshukuru sana Rais Magufuli kwa hili.
Ili ni tatizo yaa weusi wengi wamejikita kufanya lootingKuna tweet ya Trump amesema Hayo ni km maandamano kipindi cha Lincoln,ni enzi za utumwa,na jamaa wameanza kuloot wanaiba,sasa kesi yote itageuzwa.
Una akili za kimasikini sana arudishwe amefanya kosa gani🤣🤣🤣🤣 muda sio mrefu atarudishwa Bongo huyu ilanimefurahi sana mwana anakuza Lugha anajivunia kuongea kiswahili
🔥🔥
Wendio mlemavu wa AKILI kwani kule maandishi matatu ni kwao? kwao huku Bongo kilema ww.Una akili za kimasikini sana arudishwe amefanya kosa gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli umempatia huyo. Hivi nyie wakenya hamjatoka quarantine tu... shubamiitWakenya wako china
Kama ana uraia wa USA hana haki ya kuandamana,kwa sababu asili yake ni Tz?Wendio mlemavu wa AKILI kwani kule maandishi matatu ni kwao? kwao huku Bongo kilema ww.
Sasa embu fikiria kwanza kama ulipewa wanaweza vilevile kukupokonya kwani kinashindikana nn hapo? sio kwao huko ndio maana nikasema mwana ni mzalendo kwa kuwashawishi watu tu kumsikiliza na kuweza kumfuatisha kuongea Lugha yetu.Kama ana uraia wa USA hana haki ya kuandamana,kwa sababu asili yake ni Tz?
Kilichonyooka..sio iliyo..Tulia wewe mkenya hana kiswahili iliyonyooka
Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Ni mbaya sana,issue ni black mwenzetu kauliwa,sasa wanavunja maduka wanaiba what is what.Ili ni tatizo yaa weusi wengi wamejikita kufanya looting
Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Wanavunja maduka wewe umeona? Vibaraka wakubwa nyie!! Umeona maduka kuliko maisha ya mwenzio!Ni mbaya sana,issue ni black mwenzetu kauliwa,sasa wanavunja maduka wanaiba what is what.
Mkuu mbona umefula...Lissu alipigwa risasi,Mwangosi alipigwa risasi,mzee Mangula alilishwa sumu,Kibiti watu wamekufa ,Ben Saanane na Azory awaonekani.Yote ayo yamefanyika apo Tz ,vipi mbona hamkutoka mtaani kuandamana ,kuvunja maduka nk apo Bongo?Wanavunja maduka wewe umeona? Vibaraka wakubwa nyie!! Umeona maduka kuliko maisha ya mwenzio!
Nyie ndo mnaosema bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu africa! Shame.