Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

Wacha ujinga wewe! Watanzania chungu nzima wamebambikiwa kesi ikiwemo Eric Kabendera hadi kusababisha kifo cha mama yake, Ben Saanane, Azory gwanda wamepotea hadi hii leo hakuna uchunguzi. Watanzania wameokotwa kwenye viroba ufukweni hakuna uchunguzi. Shambulizi la lissu, kunyimwa pesa zake ambazo ni haki yake pia kuporwa ubunge wake na kuwabambikia kesi viongozi na wanachama wa Chadema. Halafu unaandika ujinga wako eti tuna amani.


Tanzania tuna amani sana. Tunamshukuru sana Rais Magufuli kwa hili.
 
Kuna tweet ya Trump amesema Hayo ni km maandamano kipindi cha Lincoln,ni enzi za utumwa,na jamaa wameanza kuloot wanaiba,sasa kesi yote itageuzwa.
Ili ni tatizo yaa weusi wengi wamejikita kufanya looting
 
Wabongo bwana, hatupendi vyakwetu kwa nini? Badala ya kumsifu kijana tuna mponda. Ukoloni unekomaa kwa baadhi yetu. Haifai hivyoooooo!
 
"I can't breath" hiyo ndio kauli ya mwisho ya marehemu baada ya kubanwa shingo na goti la police wa kizungu
 
Waafrika bhana ndo maana huwa tunasema alieloga watu wa bara hili si ajabu akawa amekufa na covid 25,si kwa vituko hivi,yani nyumba yako inawaka moto we unaenda kuzima ya jirani.
 
Kama ana uraia wa USA hana haki ya kuandamana,kwa sababu asili yake ni Tz?
Sasa embu fikiria kwanza kama ulipewa wanaweza vilevile kukupokonya kwani kinashindikana nn hapo? sio kwao huko ndio maana nikasema mwana ni mzalendo kwa kuwashawishi watu tu kumsikiliza na kuweza kumfuatisha kuongea Lugha yetu.
 
Waswahili mmepata kick
Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.

Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.

 
Mwambie nyumbani kumenoga aje ajenge nchi ahache kupayuka Kwa watu
 
Wanavunja maduka wewe umeona? Vibaraka wakubwa nyie!! Umeona maduka kuliko maisha ya mwenzio!

Nyie ndo mnaosema bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu africa! Shame.
Mkuu mbona umefula...Lissu alipigwa risasi,Mwangosi alipigwa risasi,mzee Mangula alilishwa sumu,Kibiti watu wamekufa ,Ben Saanane na Azory awaonekani.Yote ayo yamefanyika apo Tz ,vipi mbona hamkutoka mtaani kuandamana ,kuvunja maduka nk apo Bongo?
Yaani mnajari ya wenzenu huku ngambo lakini huko nyumbani mpo kimya...Anzieni nyumbani kwanza
 
Back
Top Bottom