Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

Soma post #44 kwenye uzi huu.


[TumainiEl, post: 17693053, member: 20912"]
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
[/QUOTE]

Duh! Noma sana
 
Aje aandamane huku Tanzania maana huku ndio kwao. Aache kuvuruga Amani ya nchi za watu. Atafanya watanzania waanze kunyimwa kwenda Marekani kwasababu wataonekana ni wakorofi

Aandamane bongo? Humtakii mema.
 
Natumia free basic nimeshidwa kuizikia sauti wakuu
 
Wengi wanashindwa kuelewa maswala ya uakaaji
Kama alipata uraia ana haki zote ikiwepo haki ya kuandamana
Kama ukaaji haujakaa sawa hahahhh aanze kubook tiketi ya kurudi kwao
Polisi duniani kote wanatumika vibaya kibaya zaidi huwa wanasahau kuishi kwao ni kodi za wananchi

Hii issue Trump afike mahali awe muungwana
Hofu ya wengi ni civil war
 
Reactions: BAK
... haki gani anaidai huko Marekani huyo mhuni? Haki yake iko Afrika arudi kuidai sio kupayuka kwenye nchi za watu walizozijenga kwa akili, jasho, na damu.
Sasa kama ni raia wa Marekani mzee?

Nadhani huwa unachangia mada bila kujiushauri shauri sitaki kusema bila kufikiri maana nakuheshimu u mtu mzima.
 
Kwani Marekani ni peponi ? We vipi
Aje aandamane huku Tanzania maana huku ndio kwao. Aache kuvuruga Amani ya nchi za watu. Atafanya watanzania waanze kunyimwa kwenda Marekani kwasababu wataonekana ni wakorofi
 
Hao wote walivuna walichokipanda.
 
We vipi kwani Kenya alipokufa ouko mliandamana ?
 
Siyo lazima awe mtanzania, inawezekana ana uraia wa Marekani,(Mmarekani mwenye asili ya Tanzania).Kudai haki siyo dhambi,hiyo haki ikipatikana inanufaisha weusi wote na minorities wengine.Hata wewe unaweza ukapata zali la kwenda USA na ukakuta uonevu wa watu weusi umepungua ukafaidi matunda ya maandamano haya.
 
Tunaishukuru serikali ya JPM kwa juhudi hizi za maandamano US
 
Mkiambiwa muandamane kuhusu akwilina hamtaki ila mnashabikia maandamano ya marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…