USSR anapanga maandamano chokora hapa nchini. Hii nayo ni kuingilia mambo ya watu.Hiyo ni kuingilia mambo ya ndani ya marekani huyo Kama ni kweli mtanzania pumbafu zake simuumgi mkono
Mkuu wanaloot sasa hivi, asbuhi hii nimeona wako wana mifuko ya rambo wanabeba kila kitu madukani, tena ni maduka ya waswazi wenzao.Wanavunja maduka wewe umeona? Vibaraka wakubwa nyie!! Umeona maduka kuliko maisha ya mwenzio!
Nyie ndo mnaosema bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu africa! Shame.
Ni ngabu huyo... Life pale state ni ngumu balaa asikuambie mtu...Siyo, ni Mbongo..mm namjua.
Alafu unaita watu vibaraka hapo kipawa wanauliwa kina Hussein, juma,John kila siku ukashupalie mambo ya US,we ni fala,lofaWanavunja maduka wewe umeona? Vibaraka wakubwa nyie!! Umeona maduka kuliko maisha ya mwenzio!
Nyie ndo mnaosema bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu africa! Shame.
Tanzania tuna amani sana. Tunamshukuru sana Rais Magufuli kwa hili.
Yeah. Na mimi nafkiria hivyo. Yawezekana pia hizi ni propaganda tu ambazo zimeanzishwa kimakusudi na Deep State ili kumchomoaTrump Sizani kama anarudi mwezi wa 11
Yaani huyu hamjui Magufuli,asingefanya huu ujinga nchi za watu.Mitanzania ilivyo fisi.... no way!
atakuwa Mkenya au Mkongomani huyu.
Hawaibi wanachukua sehemu ndogo tu ya kile walichoiba waazungu toka Africa,Ni mbaya sana,issue ni black mwenzetu kauliwa,sasa wanavunja maduka wanaiba what is what.
Huyo wakimkamata watamrudisha bongoHiyo ni kuingilia mambo ya ndani ya marekani huyo Kama ni kweli mtanzania pumbafu zake simuumgi mkono
Umejuaje sio kwao, Una passport yake ya kusafiria ?Wendio mlemavu wa AKILI kwani kule maandishi matatu ni kwao? kwao huku Bongo kilema ww.
Kesho utasikia Mambosasa anajitokeza na kuagiza huyo mbongo atafutwe huko akamatwe, hajui maandamano yanamfanya JIWE wa Bongo halali usingizi hata japo yanafanyika Marekani?Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Nyerere alitwambia kwenye shida au hatari kubwa mtu utalia kikwenu. Utaanza kwa Kiingereza... My God!! Kisha Mungu wangu na mwisho kabisa utaishia kusema Maweee!!Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Usisahau ya JPM kuwekewa sumu akiwa waziri pamoja na mzee Mangula ...Mkuu pole sana,kuhusu Ben sanane muulizeni kamanda mkuu,mbowe,Hugo ndo mhusika namba moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mguu, historia iko wazi nchi ile ina mchanganyiko wa watu wenye asili mbalimbali kwann udai Waafrika hawajaijenga nchi ile.π³π³π³π³π³ Unajuaje kama naye akili, jasho na damu yake imetumika kuijenga US!?
Uhuni wake ni upi? Kama ana uraia ana haki zote sawa na Mmarekani yeyote yule. Acheni kuonyesha ujinga kuhusu haki za mtu katika Nchi za watu.
Kupenda slope na kitonga[emoji16]... haki gani anaidai huko Marekani huyo mhuni? Haki yake iko Afrika arudi kuidai sio kupayuka kwenye nchi za watu walizozijenga kwa akili, jasho, na damu.
Nakazia asituharibieAje aandamane huku Tanzania maana huku ndio kwao. Aache kuvuruga Amani ya nchi za watu. Atafanya watanzania waanze kunyimwa kwenda Marekani kwasababu wataonekana ni wakorofi
Teh teh[emoji16][emoji16] shobo dundoWaafrika bhana ndo maana huwa tunasema alieloga watu wa bara hili si ajabu akawa amekufa na covid 25,si kwa vituko hivi,yani nyumba yako inawaka moto we unaenda kuzima ya jirani.
Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.