Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Swali lako zuri SanaHiyo thamani huwa wana ipataje? Au Police nao ni wauzaji?
Bangi wanajua thamani yake, unga nao vile vile, unajuaje thamani ya kitu haram?
Swali lako zuri SanaHiyo thamani huwa wana ipataje? Au Police nao ni wauzaji?
Bangi wanajua thamani yake, unga nao vile vile, unajuaje thamani ya kitu haram?
Kuna dogo alikamatwa na mambo kama haya ya madawa sasa nikaenda kwenye ofisi yao kitengo cha madawa.Hiyo thamani huwa wana ipataje? Au Police nao ni wauzaji?
Bangi wanajua thamani yake, unga nao vile vile, unajuaje thamani ya kitu haram?
Kutafuta hakuna dini mkuu ukitaka kuamini viongozi wa kibongo wanaapishwa wameshika misahafu lakini hao hao ndiyo wezi wakubwa duniani hakuna.Naomba asiwe na jina la kigalatia. Yani sijui tutaficha Sura zetu wapi?
hydroxo adriz Mufti kuku The Infinity
Mama hatumdai15 Julai 2025
273 Voortrekker Road, Goodwood, Cape Town, Western Cape, South Africa
Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni
Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni Lieutenant Colonel Malcolm Pojie kuhusu msako huo uliowatia mbaroni raia mmoja wa kitanzania na mwenzie wa,...
Lieutenant Colonel Malcolm Pojie alisema lengo lao kwa taarifa za awali ni kwamba waliokamatwa walikuwa wauzaji wadogo lakini wakiwa eneo wakifungua makabati ndipo wakapata taarifa za ziada za kiintelejensia wakatanua ukaguzi wao hadi darini na kukumbana na zaidi ya kilogram 140 za madawa ...
Thamani ya madawa yaliyokutwa darini na sehemu nyingine katika makazi ya nyumba hiyo moja ni randi 54.4 milioni sawa na shilingi zaidi ya bilioni 7.8..
Watuhumiwa wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Goodwood Magistrates’ ya nchini Africa ya Kusini
==================
Some of the drugs were found hidden in the roof of the raided house.
![]()
Goodwood drug bust. Picture: Saps
Two foreign nationals are facing drug trafficking charges following a major intelligence-led operation in Goodwood that resulted in the seizure of narcotics worth R54.3 million on Sunday afternoon.
Members of Operation Restore executed a search warrant at a residence on Molteno Street at approximately 13:45 on Sunday,13 July 2025, leading to the discovery of substantial quantities of heroin and crystal methamphetamine, also known as Tik, hidden throughout the property.
Initial drug discovery leads to arrests
The operation began when officers searched the premises and made their first significant find in a bedroom cupboard.
“During the search, the members discovered and seized 6kg of heroin, which was found in a cupboard in one of the rooms,” said Police spokesperson Lieutenant Colonel Malcolm Pojie.
Pojie said the occupant of the room, a 32-year-old Tanzanian national, was immediately arrested and charged with dealing in heroin ...
Source : Tanzanian and Burundian nationals arrested in R54.3m drug bust in South Africa | The Citizen
Ni kauli ya kizembe sana kuita ajali. Alijua risk associated na hiyo kazi, one day atakamatika. Na hiyo siku imefikaAjali kazini
Rahisi sana, police wa miaka hii huwa wana taarifa kutoka kwenye black markets about estimated values za mihadaratiHiyo thamani huwa wana ipataje? Au Police nao ni wauzaji?
Bangi wanajua thamani yake, unga nao vile vile, unajuaje thamani ya kitu haram?
Mkuu uislamu USHA kufanya niniHajambo kabisa. Hapo Chini akitakiana kheri Na kaka yake wakambo Abbas kabla ya ya umauti.
View attachment 3407024
Mufti kuku The Infinity adriz
🤣Mama hatumdai
N ajali kwa sababu inawezekana sio mara yake ya kwanza kufanya hvyNi kauli ya kizembe sana kuita ajali. Alijua risk associated na hiyo kazi, one day atakamatika. Na hiyo siku imefika
Andika kwenye kichwa cha habari pumbav. Ww unafikiri tuna muda wa kusoma yote hayo unafikiri tupo chumba cha mtihaniUnaelewa kusoma we jamaa?Okay ni 273 Voortrekker Road,Goodwood.Capetown.Westerncape, South Africa.Sasa nini usichoelewa hapo au mwalimu wako wa kingereza ni kipofu?
Huwezi kuendesha gari rough halaf kichwani mwako usitegemee ajali, lazima utakua one day utapiga mzinga, au kugonga mtuN ajali kwa sababu inawezekana sio mara yake ya kwanza kufanya hvy
Kama huna muda wa kusoma unatafuta nini humu?Si uende ukachuuze mtaani,Stupid oneAndika kwenye kichwa cha habari pumbav. Ww unafikiri tuna muda wa kusoma yote hayo unafikiri tupo chumba cha mtihani