- Thread starter
- #41
Voortrekker Road,Goodwood.Capetown.Westerncape
Walk with me in Goodwood, Cape Town down Voortrekker Road. A slow and quiet Sunday afternoon....
View: https://m.youtube.com/watch?v=BC84xu4asBs
Voortrekker Road,Goodwood.Capetown.Westerncape
Badala umtetee mtume 🥺 😭Naomba asiwe na jina la kigalatia. Yani sijui tutaficha Sura zetu wapi?
hydroxo adriz Mufti kuku The Infinity
Kumbaf kajifunzeni skills za kuandikaKama huna muda wa kusoma unatafuta nini humu?Si uende ukachuuze mtaani,Stupid one
Mwenye skills ya kuandika inabidi asome bila kuacha kitu,lakini ni tofauti na wewe,you pretend to be one of them but your not.Kumbaf kajifunzeni skills za kuandika
Kwamba huwez kufanya kazi halali ukapatwa na ajali/matatizo?Huwezi kuendesha gari rough halaf kichwani mwako usitegemee ajali, lazima utakua one day utapiga mzinga, au kugonga mtu
Hamna ajali , hizo ni outcomes za hiyo kazi na wahusika huwa wanajua
Naomba asiwe na jina la kigalatia. Yani sijui tutaficha Sura zetu wapi?
hydroxo adriz Mufti kuku The Infinity
Kufanya kazi halali not = equal to kazi isiyo halaliKwamba huwez kufanya kazi halali ukapatwa na ajali/matatizo?
Huyo wakimtaja jina lazima litakuwa la "KIARABU" maana hata kule Afghanistan wanakoendesha nchi kwa sheria "zilizoshushwa" ndio wakulima wakuu duniani wa miti ya madawa hayo15 Julai 2025
273 Voortrekker Road, Goodwood, Cape Town, Western Cape, South Africa
Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni
Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni Lieutenant Colonel Malcolm Pojie kuhusu msako huo uliowatia mbaroni raia mmoja wa kitanzania na mwenzie wa,...
Lieutenant Colonel Malcolm Pojie alisema lengo lao kwa taarifa za awali ni kwamba waliokamatwa walikuwa wauzaji wadogo lakini wakiwa eneo wakifungua makabati ndipo wakapata taarifa za ziada za kiintelejensia wakatanua ukaguzi wao hadi darini na kukumbana na zaidi ya kilogram 140 za madawa ...
Thamani ya madawa yaliyokutwa darini na sehemu nyingine katika makazi ya nyumba hiyo moja ni randi 54.4 milioni sawa na shilingi zaidi ya bilioni 7.8..
Watuhumiwa wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Goodwood Magistrates’ ya nchini Africa ya Kusini
==================
Some of the drugs were found hidden in the roof of the raided house.
![]()
Goodwood drug bust. Picture: Saps
Two foreign nationals are facing drug trafficking charges following a major intelligence-led operation in Goodwood that resulted in the seizure of narcotics worth R54.3 million on Sunday afternoon.
Members of Operation Restore executed a search warrant at a residence on Molteno Street at approximately 13:45 on Sunday,13 July 2025, leading to the discovery of substantial quantities of heroin and crystal methamphetamine, also known as Tik, hidden throughout the property.
Initial drug discovery leads to arrests
The operation began when officers searched the premises and made their first significant find in a bedroom cupboard.
“During the search, the members discovered and seized 6kg of heroin, which was found in a cupboard in one of the rooms,” said Police spokesperson Lieutenant Colonel Malcolm Pojie.
Pojie said the occupant of the room, a 32-year-old Tanzanian national, was immediately arrested and charged with dealing in heroin ...
Source : Tanzanian and Burundian nationals arrested in R54.3m drug bust in South Africa | The Citizen
Get rich or die trying💪🏾💪🏾.15 Julai 2025

Unazunguka sana wakati swali langu limenyookaKufanya kazi halali not = equal to kazi isiyo halali
Kuna ajali yes, butatleast hiyo ajali hujitakii
Sometimes hata wenyewe kwa wenyewe kwa sababu za wivu na husda, mzigo ulikuwa wa pesa nzuri hivyo kwa wenye roho za kutu ni rahisi kuchoma ili mtu asitoboe kimaisha.Hao wamechongewa na raia south majamaa wale hawapend maendeleo ya wagen ,😄
Hahaha hamna mahali nazunguka, tatizo unataka utafuniwe everythingUnazunguka sana wakati swali langu limenyooka
Yani mgalatia mmoja Tu Evodi John number 28.
Ukiona Mbongo kakamatwa SA, ujue Mbongo mwenzake katoa Mchongo Kwa Police.15 Julai 2025
273 Voortrekker Road, Goodwood, Cape Town, Western Cape, South Africa
Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni
Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni Lieutenant Colonel Malcolm Pojie kuhusu msako huo uliowatia mbaroni raia mmoja wa kitanzania na mwenzie wa,...
Lieutenant Colonel Malcolm Pojie alisema lengo lao kwa taarifa za awali ni kwamba waliokamatwa walikuwa wauzaji wadogo lakini wakiwa eneo wakifungua makabati ndipo wakapata taarifa za ziada za kiintelejensia wakatanua ukaguzi wao hadi darini na kukumbana na zaidi ya kilogram 140 za madawa ...
Thamani ya madawa yaliyokutwa darini na sehemu nyingine katika makazi ya nyumba hiyo moja ni randi 54.4 milioni sawa na shilingi zaidi ya bilioni 7.8..
Watuhumiwa wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Goodwood Magistrates’ ya nchini Africa ya Kusini
==================
Some of the drugs were found hidden in the roof of the raided house.
![]()
Goodwood drug bust. Picture: Saps
Two foreign nationals are facing drug trafficking charges following a major intelligence-led operation in Goodwood that resulted in the seizure of narcotics worth R54.3 million on Sunday afternoon.
Members of Operation Restore executed a search warrant at a residence on Molteno Street at approximately 13:45 on Sunday,13 July 2025, leading to the discovery of substantial quantities of heroin and crystal methamphetamine, also known as Tik, hidden throughout the property.
Initial drug discovery leads to arrests
The operation began when officers searched the premises and made their first significant find in a bedroom cupboard.
“During the search, the members discovered and seized 6kg of heroin, which was found in a cupboard in one of the rooms,” said Police spokesperson Lieutenant Colonel Malcolm Pojie.
Pojie said the occupant of the room, a 32-year-old Tanzanian national, was immediately arrested and charged with dealing in heroin ...
Source : Tanzanian and Burundian nationals arrested in R54.3m drug bust in South Africa | The Citizen
Kasema mtaa nyumba namba na eneo Goodwood Cape Town hapo aandike nini tena kwa mimi nishapita hiyo mitaa miaka ya 2000 naelewa hiyo bara bara maana ni moja ya bara bara bara kubwa Cape Town.Jamaa bonge la fala halisemi hata wapi amekamatiwa huyo
Kichwa cha habari.Kasema mtaa nyumba namba na eneo Goodwood Cape Town hapo aandike nini tena kwa mimi nishapita hiyo mitaa miaka ya 2000 naelewa hiyo bara bara maana ni moja ya bara bara bara kubwa Cape Town.
Huyo kobazi wako unampenda sanaKipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu hapendi watu kutumia lugha mbaya za matusi.
View attachment 3407015