Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

Hiyo thamani huwa wana ipataje? Au Police nao ni wauzaji?

Bangi wanajua thamani yake, unga nao vile vile, unajuaje thamani ya kitu haram?
Kuna dogo alikamatwa na mambo kama haya ya madawa sasa nikaenda kwenye ofisi yao kitengo cha madawa.

Nilichoona pale yule bosi wao na wenziwe hawana tofauti na mateja ya barabarani. Chengine alichonambia huyu mkuu wao wana watumilia mateja kufanya upelelezi kwa ajili yao.

Thamani ya madawa wanaijua kutokana wao wenyewe wanafatilia kupitia hao mateja wao.
 
Mama hatumdai
 
Hiyo thamani huwa wana ipataje? Au Police nao ni wauzaji?

Bangi wanajua thamani yake, unga nao vile vile, unajuaje thamani ya kitu haram?
Rahisi sana, police wa miaka hii huwa wana taarifa kutoka kwenye black markets about estimated values za mihadarati

Thats how wanajua, but haimaanishi wanashiriki
 
Ni kauli ya kizembe sana kuita ajali. Alijua risk associated na hiyo kazi, one day atakamatika. Na hiyo siku imefika
N ajali kwa sababu inawezekana sio mara yake ya kwanza kufanya hvy
 
Unaelewa kusoma we jamaa?Okay ni 273 Voortrekker Road,Goodwood.Capetown.Westerncape, South Africa.Sasa nini usichoelewa hapo au mwalimu wako wa kingereza ni kipofu?
Andika kwenye kichwa cha habari pumbav. Ww unafikiri tuna muda wa kusoma yote hayo unafikiri tupo chumba cha mtihani
 
N ajali kwa sababu inawezekana sio mara yake ya kwanza kufanya hvy
Huwezi kuendesha gari rough halaf kichwani mwako usitegemee ajali, lazima utakua one day utapiga mzinga, au kugonga mtu

Hamna ajali , hizo ni outcomes za hiyo kazi na wahusika huwa wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…