Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

Mwanaume tafuta hela, we tafuta hela tu... Haijarishi ni njia gani unaitumia kutafuta, But we tafuta hela. Pesa ndo ulinzi wako. Ajali kazini ni suala la kawaida tu mbona!
 
Huwezi kuendesha gari rough halaf kichwani mwako usitegemee ajali, lazima utakua one day utapiga mzinga, au kugonga mtu

Hamna ajali , hizo ni outcomes za hiyo kazi na wahusika huwa wanajua
Kwamba huwez kufanya kazi halali ukapatwa na ajali/matatizo?
 
DAH SAIVI ukijitambilish umetokea bongo unapigwa Sachi HADI kwenye
 
Huyo wakimtaja jina lazima litakuwa la "KIARABU" maana hata kule Afghanistan wanakoendesha nchi kwa sheria "zilizoshushwa" ndio wakulima wakuu duniani wa miti ya madawa hayo
 
Get rich or die trying💪🏾💪🏾.
 
Hao wamechongewa na raia south majamaa wale hawapend maendeleo ya wagen ,😄
Sometimes hata wenyewe kwa wenyewe kwa sababu za wivu na husda, mzigo ulikuwa wa pesa nzuri hivyo kwa wenye roho za kutu ni rahisi kuchoma ili mtu asitoboe kimaisha.
 
Ukiona Mbongo kakamatwa SA, ujue Mbongo mwenzake katoa Mchongo Kwa Police.
 
Jamaa bonge la fala halisemi hata wapi amekamatiwa huyo
Kasema mtaa nyumba namba na eneo Goodwood Cape Town hapo aandike nini tena kwa mimi nishapita hiyo mitaa miaka ya 2000 naelewa hiyo bara bara maana ni moja ya bara bara bara kubwa Cape Town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…