Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

Kuna huyu hadi alikua na ujasiri wa kuvaa kofia yenye rangi za bendera ya nchi yake Tanzania na kuja kutupiga mabomu

_107735354_mediaitem107727247.jpg
Akanyongwa vizuri gerezani, nguruwe yeye🤣
 
Magaidi wanatujua vizuri sana, wakigusa Ardhi ya Tanzania tu, ndio mwisho wao, watabaki kushambulia nchi zilizotuzunguka, ila taarifa wamezipata toka kwa wenzao wa Mozambique. Tanzania hoyeee.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Baada ya kuwanyima hifadhi wakimbizi toka Mozambique na kuwa hangaisha raia kwa kutupa makobora hovyo. Magaidi Bado Wana gain foothold na support.
 
It will come back to bite them

Ngoja tu, kwanza vile Magufuli ako ruthless watastrike back
There is nor a single country or terrorists group which doesn't know the strength of TPDF, who ever tries, we make him a lesson for others, ask Uganda and Mujahidin from Mozambique.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mliwakosea nini Al shabab?
Hao maSheikh wanao wapotoza vijana watafutwe vizuri sana huko Tz.

Sanasana maeneo ya Kilimanjaro,Arusha na Tanga, msiwafuate hawa wasomali kutoka hapo Namanga mtatumiwa tu.
 
Baada ya kuwanyima hifadhi wakimbizi toka Mozambique na kuwa hangaisha raia kwa kutupa makobora hovyo..... Magaidi Bado Wana gain foothold na support .
Tanzania is not Kenya, we know very well how to play the game. Those from Mozambique terrorists group is now the history.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nashangazwa kwamba mtu anaslimu mwaka wa 2015 na miezi kadhaa huyo ashaenda vita somalia.

Jamaa kama huyo anaelewa dini kweli? Ama ni damu moto tu
Damu moto tu, doesn't make sense, he's not that deep yet, huyo alikuwa na hamu ya moto moto tu, umemchoma.
 
Mimi nashangazwa kwamba mtu anaslimu mwaka wa 2015 na miezi kadhaa huyo ashaenda vita somalia.

Jamaa kama huyo anaelewa dini kweli? Ama ni damu moto tu
Mawili, aidha vijana kama hao wana asili ya ukatili na uhalifu mioyoni, au wamekua brainwashed.
 
Kundi la Alshabaab limethiri ya kwamba raia wa Tanzania alihusika katika shambulizi la Manda airfield huko Lamu Kenya.

Jamaa huyu alislimu na kuwa muislamu mwaka wa 2015, kisha akapelekwa Somalia kupigana.

Nimewaambia mara ngapi nyie bongolala kwamba mna shida ya ugaidi nchini mwenu. Tanzania ndio imefuatilia Kenya kutoa idadi kubwa ya wapiganaji Somalia.

Sasa hivi mmezingirwa na vita vya magaidi huko Mozambique na Congo, very soon vijana wengi watazidii kujiunga na vikundi hivi na kisha kuwatishia usalama wenu.

Mjiadhari wadanganyika...kijana wenu wa pili kuuliwa Kenya kwa sababu ya ugaidi after yule Mberesero.View attachment 1667347
Kaa chini ujiulize kwanini hao vijana,wakishapewa mafunzo,hawarudi bongo,kufanya mashambulizi,
Kwanini wanaona Kenya,ni rahisi sana,kuishambulia,
Kipindi Islamic state imeshamili,jiulize kwanini hao magaidi hawakuthubutu kufanya mashambulizi Iran,au Israel?
Ukipata jibu,kaa kimya,usimwambie mtu
 
Mbona unajidanganya ?
 
Sasa mwajiona mna border security ya Iran na Israel🤔

Sijui kama mnaielewa border ya Kenya,kwanza sehemu ya boni forest kuenda hadi Ras Kamboni...
 
Kundi la Alshabaab limethiri ya kwamba raia wa Tanzania alihusika katika shambulizi la Manda airfield huko Lamu Kenya.

Jamaa huyu alislimu na kuwa muislamu mwaka wa 2015, kisha akapelekwa Somalia kupigana.

Nimewaambia mara ngapi nyie bongolala kwamba mna shida ya ugaidi nchini mwenu. Tanzania ndio imefuatilia Kenya kutoa idadi kubwa ya wapiganaji Somalia.

Sasa hivi mmezingirwa na vita vya magaidi huko Mozambique na Congo, very soon vijana wengi watazidii kujiunga na vikundi hivi na kisha kuwatishia usalama wenu.

Mjiadhari wadanganyika...kijana wenu wa pili kuuliwa Kenya kwa sababu ya ugaidi after yule Mberesero.View attachment 1667347

Kukiwa na ombwe na elimu ya kiroho kwa watoto wetu, basi ni rahisi sana kwa elimu nyingine ya kiroho isiyo sahihi kuingia ili kuziba nafasi hiyo.
 
Uzuri vichwa vyao vilipasuliwa sana hio siku. Wote tano waliangamizwa. Mashetani hao.
 
Back
Top Bottom