passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Mlikimbia nyie bure kabisa mpaka Leo mmeshindwa kuwamaliza alshabab wakati sisi wiki mbili tu tuliwaangamiza wote msumbijiUkipigwa lazima ulalamike na utie huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walifikiria vile ni vita gya drone, tena wana bahati wanaishi na KDF mle ndani lkn wangelifyekwa vibaya sana..
Ila vijana wetu wakupasua ubongo wakawahi faster kuwapeleka mbele za haki