Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

Huyo wenu tulishamuangamiza. Mkituletea mwingine atafuata njia hiyo hiyo. Huku hatucheki na gaidi. Tunawalipia nauli waende wakafire mabikira huko "mbinguni".
Aisee kumbe yule gaidi wetu aliyekua gerezani kwenu hapo kenya mliamua kumnyonga?
 
Aisee kumbe yule gaidi wetu aliyekua gerezani kwenu hapo kenya mliamua kumnyonga?
Ulikuwa unataka akule ugali na maharagwe ya serikali bila kulipia makosa aliyofanya? Huyo tulinyonga zamani na tukasahau. Halafu mwili imeshaletwa Tanzania.
 
Makurutu wa Kenya Ranger Strikeforce waliokuwa katika mazoezi yao huko Lamu waliwaangamiza kadhaa
View attachment 1667371
Baada ya kukimbia wakarudi na kuwauwa mashababi[emoji1787][emoji1787]
 
Tayari wamarekani 3 walishauliwa [emoji23][emoji23][emoji23] too late,[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Umeiona logic yako vile haingiliani na ulichomaanisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao baada ya kuwapiga marekani vijana wetu wa kupadua vichwa wakamua kuwapeleka mbele za haki kabla wawamalize wamarekani


Jamaa anakimbia sehemu ambayo hajavamiwa, kweli[emoji1787][emoji1787]
 
Sidhani kama unaelewa unalolisema. KDF pamoja na baadhi ya wanajeshi wa USA walikua pamoja katika hiyo kambi, ila KDF walikua wengi, Alshabaab walipovamia, KDF wote walikimbia wakaacha wamarekani wakipigana peke yao, hadi Alshabaab walupoondoka, KDF wakaomba msaada toka Nairobi ndio wakaanza kuwatafuta mafichoni na kuwaua baadhi yao, tayari Wamarekani 3 walishauliwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ulishawai ingia katika kambi ya jeshi ambayo inatumika na nchi mbili tofauti kweli au unabwetuka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kambi za jeshi zipo na sectors we kibwengo, wanajeshi wata share kambi lkn wala hawawezi share sectors..
Kila watu na sehemu yao mnenguaji[emoji1787][emoji1787]
Watu wakutoka forces tofauti huaga wanagawana sehemu bila kuingiliana kijinga jinga...

Pale lamu USA wana sehemu yao na KDF pia vile vile, al shabab walivamia sehemu ya USA[emoji1787][emoji1787]
 
Alshabab sehemu wanauliwa hupangwa na kupigwa picha sasa wewe nionyeshe kichaka hapo km wale wa juzi walioliwa na special kule kichakani
 
Kwahiyo wamarekani wanaolalamika kwamba KDF walijificha na kuwaacha Peke yao wanadanganya?, hovyo sana KDF. You have very weak and stupid army, wacha kutetea ujinga wenu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Alshabab sehemu wanauliwa hupangwa na kupigwa picha sasa wewe nionyeshe kichaka hapo km wale wa juzi walioliwa na special kule kichakani
Wamarekani wanalalamika hadi wiki hii kwa kitendo cha KDF kukimbia na kuwaacha wenyewe wakipigana, wewe unaulizia picha, wewe onyesha picha za hao wamarekani 3,waliouliwa, au ni uongo hawajauliwa hadi uone picha?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani haya mafia dini ni mapumbavu........mbona asife Kwanza huyo anayekushawishi ujinga wake......na bado mkiendelea kuleta shobo dundo kwenye dini mtakufa hata ukoo mzima Kwa ujinga wenu....mikubavu nyie
 
Kdf weak and stupid Amy wamarekani wanalalamika kuachwa wenyewe
 
Soma upuuzi wenu huu mnaoita ni jeshi la nchi US army criticises KDF action during Manda Bay attack
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kdf weak and stupid Amy wamarekani wanalalamika kuachwa wenyewe
Ukipigwa lazima ulalamike na utie huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walifikiria vile ni vita gya drone, tena wana bahati wanaishi na KDF mle ndani lkn wangelifyekwa vibaya sana..
Ila vijana wetu wakupasua ubongo wakawahi faster kuwapeleka mbele za haki
 
Hehehe!!umeshachanganyikiwa...rudia tena vizuri post yangu, kisha ujibu
 
Kwahiyo wamarekani wanaolalamika kwamba KDF walijificha na kuwaacha Peke yao wanadanganya?, hovyo sana KDF. You have very weak and stupid army, wacha kutetea ujinga wenu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wajifiche vipi na wakati kila watu na sehemu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukipigwa lazima ulalame, mara hoo mara nini..
Mbona hawasemi mashababi waliuliwa na kdf, tena hawakai sehemu moja walikuja kuwasaidia[emoji1787][emoji1787]
 

umekuja moto yet bila kujua unaongea pumba.

haya twambie mkivamiwa kambi yote ni sector gani inatakiwa kupambana!!!

mama wa sectors[emoji38][emoji38][emoji38],poor kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…